Recent content by mkukiallawi

  1. M

    Ushauri: RITA imekosa umakini, ivunjwe

    Fanya yako achana na yasiyokuhusu .chet cha kuzaliwa ndo kimekuwasha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mwenye picha za jiji la Mbeya

    Umeoneshwa maeneo ya kale kabisa
  3. M

    Mwenye picha za jiji la Mbeya

    Huijui mbeya wewe .maeneo mazuri yako kibao
  4. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Polen,,,ndo tujue ''madaraka yanamwisho wake
  5. M

    Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

    Mhhh,, inatisha sana .lakin yote yalishatabiriwa ni lazma yatokee Mungu ashukuriwe na awape faraja wafiwa wote
  6. M

    Jihadharini na dawa za kuongeza nguvu

    Vijana Wa siku hiz MNA uchu uliokithiri ....wengine wanatumia dawa hiz huku hawana hata tatizo ,,,nia tu wamkomoe msichana..matokeo yake ndo aibu hii sasa
Back
Top Bottom