Wakuu naombeni msaada kwenye tuta hapa. Nasumbuliwa sana na issue ya kuwashwa kwenye Korodani na halii hii hutokea ninapokuwa nimekaa mahali muda mrefu, nikiinuka tu naanza kusikia kuwashwa na huwa natamani kukaa kama kitandani hivi kisha nivue nguo zote nijikune sana.
Huwa najikuna sana mpaka...
hakuna ukweli wowote kuwa TB Joshua alimtabiria Lowasa kuwa raisi maana watu tunaangalia Live services kila juma pili na Lowasa mara zote akienda tunamwona na wote waliopokea Prophecy walipewa hadharani sasa hyo mnayosema ya Lowasa kutabiriwa ilitoka wap.... mbona haikufanyika hadharan...
wakuu habarini za muda huu...
Kuna dawa naiskia sana ya nguv za kiume ambayo n mchanganyiko wa asali mdalasin na kitunguu swaumu. Je dawa hii inatumukaje?
Wakuu habari za sahizi
Nna shida ya nguvu za kiume wana jamvi nafkiri kuna doc anaeweza kunsaidia katika hili au mtu yeyote anaefahamu maswala haya. Tatizo ni kuwa nna wahi sana kufika kileleni hvyo nashindwa kumridhisha mpenz wang na pia nkishamalza round ya kwanza inachukua muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.