Recent content by MkudeSimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu huu Utapeli

    We hujaelewa tu, Wezi hapo polisi sio huyo mzee, hapo mzee ni dalali wa wezi tu. Kwani polisi hakuna kesi ya wizi wa kuaminiwa?? kwanini wasikufungulie jalada !!? Sasa wewe nenda kampasue huyo mzee yaishe ili yeye ndio aanze kukutafuta hiyo laki tano akajitibie, hakikisha unampasua kiasi kwamba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sio kila kitu kinafaa kuigwa Hollywood

    Watu wameshakuwa adicted. Tena wanaoendekeza mchezo huu ni wasanii, wao badala ya kudumisha utamaduni wetu wanakuwa mstari wa mbele kufata tamaduni za watu, inahitaji nguvu ya ziada kuwaelimisha watu katika hili.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TTCL Vacancies: Others

    Soma hadi mwisho mkuu, Unatakiwa Uapply Online.
Back
Top Bottom