tukitaka maendeleo ya kasi na sawia na tukitaka biashara ishamiri katika maeneo yote nchini lazima tuitazame na tuishughulikie miundombinu ya usafirishaji nchini kama mfumo mmoja bandari za bahari na maziwa, reli, barabara na usafiri wa anga. Mipango mizuri, tatizo ni katika kugharamia...
ni kweli wapo wanadini ambao si waadilifu,ila wengi wao ni waadilifu sana na wapenda haki,kwahiyo siyo wote...wee umesikia kuna sheikh yeyote ametajwa kuhusu rushwa?
kingunge nae si mweu tu kwanza ameishajiishia anasubiri kwenda kuzimu tu anajua nini huyo mzee,shule yenyewe hakuna zaidi ya kulingia uzoefu tu walelewa kwenye siasa za enzi hizo.
Ugomvi binafsi, wivu na vita kati ya vyama vya siasa
vinatawala zaidi kuliko sheria, kanuni na taratibu. Hata kama
escrow kweli ingekuwa watu wameiba Fedha -bado
ushughulikiaji wa watu waliohusika nao unatakiwa kufuata
Katiba -ya nchi, sheria na taratibu za nchi na sio matakwa
ya watu...
KIKWETE USIWASIKILIZE -'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW
Na Happiness Katabazi
IBARA -ya 37(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 , inasema hivi: ' Mbali na kuzingatia Masharti yaliyomo katika Katiba -hii, na Sheria za Jamhuri ya Muungano -Katika Utendaji -wa kazi -na...
Muhongo kwa sababau tu tangu kuingia kwake ofisini ameziba mianya ya uchotwaji mkubwa wa pesa za watanzania kupitia sekta ya madini, na sasa mabepari wameungana na wabunge wenye husda kupambana dhidi ya kweli na haki anayosimamia Muhongo.
Kumpoteza Muhongo kwa sababu tu yeye na Katibu mkuu...
ngoja tusubiri mkuu wa kaya atasemaje kuhusu escrow...ila kwa january makamba ni sahihi kuongea chochote kuhusiana na sakata la escrow maana hatukumsikia bungeni either hakupata muda au fursa ya kuhongerea hilo.
january makamba ndio kiboko yao 2015.mawazo mapya,fikra mpya na malengo mapya.vijana ndio nguvu kazi ya taifa.tumuunge mkono kijana mwenzetu vijana na tujitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbali mbali ktk nchi yetu,wazee wabaki kuwa washauri wetu tu nao wakapumzike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.