Recent content by mkude kibwana

  1. M

    Mama Mgwira na nguvu ya mwanamke

    Gazeti la Jambo Leo limeandika makala haya kuhusu Mama Anna Mghwira Mghwira achambua nguvu na maarifa ya mwanamke kiuchumi Na Celina Mathew Mwanamke na mwanaume kila mmoja ana nguvu yake ya asili katika kukabiliana na hali ya kiuchumi. Hili ni eneo ambalo siyo kila mtu anaweza kulichambua...
  2. M

    ACT Wazalendo na kunguni wa Magufuli

    UWEZO WA KITANDA KIPYA TUNAO Habari zenu ndugu wasomaji na watanzania wote kwa ujumla, naamini mnaendelea vyema na joto la kisiasa linazidi kukua miongoni mwa watanzania. Naamini kwa muitikio wa mwaka huu, ni kweli kabisa watanzania tunayahitaji mabadiliko na tupo tayari kuhakikisha...
  3. M

    ACT Wazalendo mwendo mdundo

    Chama cha ACT wazalendo chazidi kudunda mitaani baada ya tafiti kuonyesha ni chama pendwa na wanyonge wengi kuliko CCM na CHADEMA. Tafiti hizo zilizofanywa na chombo kimoja cha habari kimebaini ACT imejikita zaidi vijijini tofauti na vyama vyenza katika uchaguzi huu ujao. wakati hayo...
  4. M

    January mkamba: Tunahitaji vyama vya upinzani imara.

    Leo hii tunapoadhimisha rasmi miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ujumbe wangu kwa wanachama wake ni ule ule nilioutoa kupitia kitabu cha ‪#‎TanzaniaMpya‬ kwamba: "Lazima tuendelee kusimama kidete kuwasemea na kuwatetea Watanzania, hasa wanyonge wa hali...
  5. M

    January Makamba na mfumo wa utoaji haki nchini

    baba yao nani? shetani au mungu???
  6. M

    January Makamba na mfumo wa utoaji haki nchini

    huyo GGM ndio nani?? pia elewa mawazo na fikra za mtu, acha kukariri kaka, makamba ana uwezo tena mkubwa tu.
  7. M

    January Makamba na mfumo wa utoaji haki nchini

    Hivi ndivyo Janury Makamba anavyouzungumzia mfumo wa utoaji haki nchini. Mambo yote katika nchi yanaweza kwenda kombo, lakini mfumo wa utoaji haki ukiharibika, nchi inaingia hatarini. Watu hustahili na hupenda kupata haki zao. Tumeweka Mahakama na taasisi nyingine za umma kwa ajili hiyo. Ikiwa...
  8. M

    Soma hapa Kitabu cha January Makamba na Tanzania Mpya

    Pamoja na juhudi zinazofanyika katika kupunguza si kama kumaliza tatizo la upungufu wa umeme nchini, lakini bado nchi yetu ingali na tatizo hili. January Makamba alipata kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini na sasa ni naibu waziri wa sayansi na teknolijia. January alinukuliwa akitaja...
  9. M

    Mahakama ya Kadhi: Tanzania inaanza kuvuna matunda ya kuikataa historia ya kweli

    hizo hizo hospital na shule hazijiendeshi kwa faida? je, hiyo faida inamnufaisha mtanzania au taasisi ya kikristo? hiyo faida haizalishwi na kodi zetu kwa asilimia fulani? je hizo kdi zinalipwa na wakristo tu?
  10. M

    Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    hivi hao mapadre na maaskofu hawaoni pia kuwa ruzuku zinazoingia katika mashule na hosptali zao zinatokana na kodi??? hivi hiz hosptalk hazijiendeshi kwa faida? na hiyo faida inafanya kazi gani si kama kuziimarisha hizo taasisi??
  11. M

    Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

    hili ni jambo zuri sana, hongera sana Mkamba na hongera serikali yetu.
  12. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    unauzungumziaji ubalozi wa vatcan na MOU mkataba unaounufaisha taasisi za kikiristo.???
Back
Top Bottom