Mimi Nina allergy na condom. Na pia sifurahii game nikivaa. So mimejikuta nakuwa mpole na kutulia Njia kuu. Ikitomea ajali Njia kuu nikichepuka basi ni lazima kwanza kucheki "afya" kujua usalama kabla ya kuingiza gari barabara ya mchepuko
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Wana JF habari zenu nyote.
Nina furaha kubwa kuwa hapa tena baada ya kumaliza majukumu yaliyoniweka bize sana kiasi kwamba ilibidi kufanya maamuzi magumu ya kuacha kutumia Social Media maana nilikuwa so much addicted. Nilimiss sana JF na wadau wote hasa forum hii ya Chitchat.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.