Recent content by mkubhi

 1. mkubhi

  Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

  Kwani wametumia katiba mupya kuwatimua au katiba iliyopo?
 2. mkubhi

  Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

  Wewe unaweza kuitwa na polisi mtandaoni ukaenda.... Nyie ccm mumeishiwa kabisa hamna mbele wala nyuma
 3. mkubhi

  Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

  Sema kosa lake akanyee ndoo , sema jiwr ameshikwa pabaya anaanza kutumia kila linalowezekana kumdhibiti kisiki lisu .....
 4. mkubhi

  Naipongeza Serikali kuzuia fedha toka nje kuingia ndani ya nchi kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu. Lengo la fedha hizo ni uovu tu, si vinginevyo

  Nyie mbona mnchkua za mifuko ya jamii hamna luzuku? Mbona pia mmechangisha wafanya biashara ,hamna ruzuku?
 5. mkubhi

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Huwezi ukaacha kujenga reli, ukasema hii hela naenda kupandisha mishahara

  Mchague mwenyewe mm namchagua lisu, na mapenzi yakulazimishana kumpenda magufuli ifikie hatua mkome
 6. mkubhi

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Imekaa vzr hii
 7. mkubhi

  Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

  Nahitaji ufafanuzi mpana kwa jinsi magu anavyolibeba hili janga na akiendelea kutuhamasisha tuondoe hofu na tujifunze namna ya kuishi na ugonjwa wa huu corona! Swali: Kuna jinsi watu wanaweza kujifunza jinsi ya kuishi na ugonjwa wa mripuko zaidi ya kuudhibiti ukaisha?? Sent using Jamii Forums...
 8. mkubhi

  Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

  Hata mkikaa kimya kigogo anaifanya kaz yake vzr Sent using Jamii Forums mobile app
 9. mkubhi

  Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

  Acha upumbafu nifurahie kwa lipi... Hoja zenu n zakiwenda wazim... Tupeni taarifa sahihi hata kama n mmoja au hakuna kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
 10. mkubhi

  Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

  Tunajilinda ila serikali n wajibu wake kutupa taarifa sahihi na kwa wakati! Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom