Recent content by mku elijah c

  1. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani kwenye Suala la "Recategorization" kwa watumishi wa Umma?

    Jamani,mwenye muongozo au waraka kuhusiana na kubadilisha idara ya kazi naomba anitumie.
  2. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tufahamishane kama uhamisho upo au haupo!
  3. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Duuh,wangoni bana,wachawi vibaya.
  4. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Vipi tamisemi,wanasemaje kuhusu uhamisho?mbona kimya?
  5. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa sasa jamani mambo yakoje mbona hakuna uhamisho,hii inakatisha tamaa sana mbona kama tunarudi nyuma miaka ya mwalimu,yaani hata uhamisho wa kubadilishana vituo unakuwa ishu?Mambo gani haya waacheni watu wahame,mishahara haijapanda,ajira hakuna hata uhamisho nao tabu?nachoka kabisa na kukata...
  6. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani mwenye taarifa kutoka tamisemi kuhusu uhamisho,maana mwaka unakatika wa mwezi Julai bado hawaja hama,sasa itakuwaje kwa wengine?
  7. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani mwenye kutoka tamisemi taarifa kuhusu uhamisho,maana mwaka unakatika wa mwezi Julai bado hawaja hama,sasa itakuwaje kwa wengine?
  8. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lindi manispaa nije mbeya,idara sekondari,maths.
  9. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa anaetaka kuja lindi manispaa,lindi mjini,sekondari tuwasiliane kupitia simu :0655913435.
  10. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa anaetaka kuja Lindi manispaa(M),idara sekondari,tuwasiliane kwa 0655913435
  11. mku elijah c

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa anaetaka kuja Lindi manispaa(M),sekondari,tuwasiliane kwa 0655913435.
Back
Top Bottom