Recent content by MKT

  1. MKT

    Tunauza Mbuzi wa maziwa

    Dume la mbuzi wa maziwa wale wanaozaa mapacha Dume moja linaweza kuboresha kizaz cha Mbuzi wako hata kama sio Mbuzi wa maziwa Njoo tuzungumze Njoo tukufundishe Njoo tukushauri #mbuzi #mbuziwamaziwa #maziwa Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi...
  2. MKT

    Heater zinazotumika kulea vifaranga 500 - 3000 kwa kuwapa joto

    HEATER ZA UMEME KWAJILI YA KUWAPA JOTO VIFARANGA Hizi ni #heater za #umeme zinazotumika kulea #Vifaranga Badala ya kutumia #mkaa au #gesi unaweza kutumia hizi heater kuwapa joto Vifaranga wako Baridi inaweza kuleta athari kwenye #Mifugo(#Kuku) yako, athari hizo ni: a. Kuku kupunguza #kutaga...
  3. MKT

    Ushauri kuhusu kichaa cha Mbwa

    KICHAA CHA MBWA Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoitwa Rabies lyssavirus Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa machache yanayoweza kusambaa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Ugonjwa huu usambazwa na wanyama mbalimbali, kutoka kwa hao wanyama kwenda kwa binadamu Mbwa ni mnyama...
  4. MKT

    Tunauza ng'ombe wa maziwa (dairy cattle)

    Ng'ombe bora wa maziwa Uzalishaji wa #maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya #mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo, ni lazima kuanza kwa kuweka msingi imara hata kabla ya kufikiria ni aina gani ya mbegu utaichukua kwa...
  5. MKT

    Kilimo cha uyoga

    KILIMO CHA UYOGA Kwa kuwa #uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana katika mahitaji yake, ikiwa ni pamoja na hali ya hewa, malighafi za #kuoteshea, urahisi wa teknologia ya kuotesha katika mazingira ya #Tanzania na soko lake kwa wananchi na katika hotel. Aina za #Uyoga...
  6. MKT

    Tunauza paka aina ya persian

    TUNAUZA #PAKA AINA YA PERSIAN Persian cats have a very loyal following of people who love them as pets. They have many of the good qualities of cats such as being easy to take care of and cleanliness. They are also very social and friendly. #Persian #persiancat #Persiancattz #paka #nyau...
  7. MKT

    Tunauza paka aina ya persian

    Tunauza Persia cat | #Paka wa kizungu One of the most expensive breed of cat #Persian #persiancat #Persiancattz Kupata huduma wasiliana nasi kupitia simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: mifugotz@gmail.com
  8. MKT

    Ufugaji wa kambale

    FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE #Kambare ni aina ya #samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha #mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko #perege na aina nyingine za #samaki. Nyama ya #kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho...
  9. MKT

    Mafunzo ya mifugo na kilimo

    Mifugo Tz inawashukuru sana SUGECO kwa kuratibu mafunzo ya kwa #vijana yalio fadhiliwa na FAO(Food and Agriculture Organization) Tunawashukuru kwa kutambua uwepo wetu Mifugo Tz na kutupa dhamana ya kuwafundisha #vijana #mafunzo ya #ufugaji bora wa kuku. Hii moja ya utekelezaji wa sera ya...
  10. MKT

    Tunauza ng'ombe wa maziwa (dairy cattle)

    Yupo 50milion from Norway
  11. MKT

    Tunauza ng'ombe wa maziwa (dairy cattle)

    TUNAUZA NG'OMBE WA #MAZIWA (#DAIRY #CATTLE) Hawa ni Ng'ombe wa #maziwa wapo wanao kamuliwa lita 10 - 24 kwa siku wapo na #mitamba simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: mifugotz@gmail.com
Back
Top Bottom