sio supermakert tu hiyo tabia ya kutorudsha chenji ipo pale kigongo ferry.hasa wanapoana watu wengi wapo ktk mstari na ferry inakaribia kuondka.ukitoa 500 unaambiwa 100 hawana inabidi uache.kwasababu watu ni wengi nawe unaharaka.ni afadhali serikali iongeze iwe 500.kulkoni wajanja wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.