Recent content by Mkosasura Ng'ong'a

  1. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Yote yanawezekana, na pengine upo sahihi. Ninadhani kama nitajibu kimsingi kwanini kununua ndege Unacheua kunde na makande ya kwenu Utindigani ukitarajia visheti na hanjumati kutoka kwangu!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Bravo! I couldn't agree more.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    You are a fool, an idiot to boot. Sababu tu mshkaji wako ameiba then tuna hisani naye kumtetea! What a wanker!?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Bila shaka, upo sahihi kabisa. Suala sio kazi gani mtu alifanya kupata riziki yake ya kila siku. Niwie radhi kwa hili. Yumkini, Slim amefanya ulaghai kudanganya umma na kwa kupitia vyombo vya habari akijitanabaisha kwa Norway akifanya kazi za ujenzi na shughuli hizo ndizo zilizompatia mitaji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Asante Mkuu kwa kunirekebisha. Mh Slim Slim, muwekezaji kutoka kitongoji cha Toeyen, Oslo, Norway. Heshima zote zimezingatiwa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Nipe mji, Mkuu! Slim siyo muwekezaji. Slim tapeli na hoteli ilikuwa chaka la kuficha pesa nyingine chafu. Vyema anyamaze, atulie tuli. Kuna mengi ambayo yakifukuliwa atajuta juto la Bashite: mdomo juu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Kwa ziada tu, kumsaidia FisadiMkuu, benki alizokacha unsecured loans Slim ni DnB na iliyokuwa ikiitwa Kredittkassen. Hakuna cha savings wala collateral. Muulize yeye Slim, anajua fika.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

    Ndiyo huyo-huyo. Ghafla hapa anaitwa muwekezaji na Norway eti alikuwa anafanya kazi za ujenzi! Slim huyu aliyejilipua Norway kama mkimbizi m-Ethiopia Mwaka 1987. Baada ya kuosha-osha wazee nyumba za malezi Oslo na kutoroka na mikopo ya benki (DnB) leo hapa anajiita "muwekezaji" na Benki Kuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Serikali haitomvumilia mtu mwenye vyeti feki

    Hii picha ningewashauri wachonga vinyago waanze kuchonga. "Mdomo juu: kilio cha mbwa."
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje kupunguza wafanyakazi katika Balozi zake

    Please tell those jokers, if this is the reason to arrest Maxence Mello, then more dirt is about to bubble up about your phoney Katibu Mkuu Foreign Department. Be still, and know.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje kupunguza wafanyakazi katika Balozi zake

    Dkt Aziz Mlima (aka Alfred Ponary), raia wa Sweden. Aanze kwa kujipunguza mwenyewe. Bila kumsahau mdogo wake aliyeajiriwa kimagumashi pale Ubalozini Washington.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Ubuhabwire unaendelea, au?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta/Gas ya BG Group/SHELL lawamani kwa UDINI baada ya kukwepa kulipa kodi ya 1Trillion

    Tutajengaje nchi 'yetu' kama baadhi ya wananchi wanabaguliwa!?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Pangani na ubadhirifu wa kutisha

    Taarifa kutoka kikao cha Baraza la Madiwani, zimetonya kwamba kuna ubadhirifu wa kutisha Halmashauri ya Pangani. Miongoni mwa maeneo ambayo yametajwa ni pamoja na Mradi wa Maji uliofadhiliwa na Benki ya Duni ambapo Shilingi 800 milioni hazieleweki zimetumika-tumikaje mpaka sasa. Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom