Recent content by Mkorintho

  1. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Haina cc [emoji1787][emoji1787]
  2. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Umeuwasha pia, si haba. May you guys drive safely [emoji91][emoji91]
  3. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Heri busara ilikuongoza kunyuti, kuna wanaojiaminigi kupitiliza na vyombo (haiwezi kaa hii mkali wa offroad), majuto huwa ni mjukuu.
  4. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Huu mkeka umesukwa safi sana
  5. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nadhani pale Ruvu Darajani ndio point ya mwisho ya kuwindana, zamani ilikua ukiimaliza Mlandizi tu tayari upo salama. Ila kwa sasa baada ya Ruvu huko mbele kiatu tuuu, ukishaivuka Chalinze ndio kabisaaa waleteee wewe unadili na taa za wanaokuja na vicheche tu. Barrier moja tu pale maeneo ya...
  6. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Muongozo rasmi kabisa wa vibao
  7. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Huko kwingine kooote fresh, uendeshapo unaconsult mirrors zako kila baada ya muda gani?? Mimi kila sekunde chache nacheki mirrors zote (side na driving) Ni muhimu sana wakati wote uendeshapo, iwe highway ama hata mjini. Kwa kucheki mirrors frequently ni rahisi kutambua uwepo wa watumiaji wengine...
  8. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    He he he, tahadhari ni muhimu sana. Next trip utapazoea, mahesabu yakikuruhusu utatembea. Kuna muda wajikuta unachoka kukaa nyuma ya malori na ukicheki kuleee wanaopandisha kweupee (ni salama kutoa)
  9. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Lutheran Junior Seminary hapa, umewakuta wajomba hawajafunga kijiwe chao bado [emoji4][emoji4]
  10. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Lile la mbao pale mbele ndio linawachanga. Uliunga tela hadi chini ama ulitoa kulia ukatembea? [emoji4][emoji4]
  11. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wewe ni wa Bagamoyo ~ Msata ~ Wami zaidi ama Mkuranga ~ Rufiji ~ Somanga ~ Lindi?? Kwa sie night riders mist of the times, pazuri kunyoosha mgongo before kuendelea na safari baada ya hizo 180+Kms drive
  12. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kijiweni kwetu Cate, wana kahawa flani amazing sana
  13. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Poor them, pole yao. A major loss kwa pump attendant aisee. Ila Elfu 70 anawekaje before kucash in? Next time ni heri wakati mzigo unaendelea kupanda asogee zake dirishani kudaka chake kabisa
  14. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hiyo Petrol Station itakua haina CCTV coverage? Ama hizo wanaziweka ofisini tu kwenye safe
  15. Mkorintho

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kwa sasa ujuzi wa kuendesha gari ni ujuzi wa msingi kabisa kuwa nao kama tu kutumia computer, kuongea lugha mbalimbali za Kimataifa n.k Hujui ni siku ipi huo ujuzi utakufaa wewe ama jamii ikuzungukayo. Jifunze sasa, magari ya mazoezi utayaona ukishafuzu na utajishangaa why 'umechelewa'...
Back
Top Bottom