Kama hilo ulisemalo ni kweli naomba uweke hapa hadharani evidence ili wore tuone tatizo lilikuwa wapi.
Kumbuka BancABC ndio Bank pekee yenye kutoa huduma bora kabisa za kibenki na tumepata tuzu za kutosha kwa kutoa huduma bora,pia tuna matawi karibu nchi zote za kusini mwa jangwa LA sahara...
Tunashukuru kwa maoni yako,humu wafanyakazi/watumishi wa serikali wamo pia na tayari leo tutaanza kuwahudumia kwa hao walio wasiliani nasi ili kupata mkopo.
Karibu tukuhudumie.
Ndg kwasasa tunadeal na watumishinwa serikali tu kwa mfumo huu,kwa mtu asiye mtumishi wa serikali tafadhari fika kwenye tawi letu iliilo jilani ili uweze kuhudumiwa.
Ahsante karibu tukuhudumie.
BancABC TANZANIA LIMITED.
Tunatoa mkopo kwa watumishi wa serikali mpaka shillingi milioni arobaini(40m), mkopo ni wa muda mfupi na muda mrefu. Mkopo wa muda mfupi ni miezi 6-9 kwa riba ya 11.5%
Na mkopo wa muda mrefu ni kuanzia mwaka mmoja hadi miaka 8 kwa riba ya 16% tuu.
Pia, tunanunua madeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.