Recent content by mkongoman leo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Maduka ya vifaa vya ujenzi mengi ni ya Wafanyakazi wa TRA hujui?
  2. M

    JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

    Steve Biko alinisononesha kifo chake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kupinga adhabu ya kifo Mahakama Kuu, kwa misingi ya haki za binaadamu

    Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Amri ya kifo: Afrika inakwama wapi?

    HUKUMU YA KIFO
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    Hivi Zungu vipi si walisems na yeye kachaguliwa au ilikuwa porojo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

    kitendo cha Mwanza kunyimwa intern airport waliimaliza kabisa,Dodoma kwa hicho tu inaipita Mwanza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

    goli la mkono
  8. M

    JamiiForums Tanzania Colonel (rtd) Haruni Ramadhani Kondo : Alama za Anguko la CHADEMA / Signs of CHADEMA's Collapse

    Dunia hubadilika kila uchwao nafikra mpya hujitokeza ukipambana na ukuta utavunjika mkono aelewe hivyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Masanja Kadogosa ila kwa Wizara ya Ujenzi una kibarua kigumu, Makanjanja wameibomoa Wizara

    Amalizie Mradi wa jengo la Abiria la airport Mwanza tujue yuko vizuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Inakuwaje wakili wa serikali wanamwonea huruma mshitakwa asinyongwe kuna mchezo majaji wanapaswa waukwepe,basi DPP angempa mashitaka ya uchochezi straight vinginevyo adhabu anayostahili ni kunyongwa mpaka kufa. hapa mashtaka haya ni ya kuundwa na hisia tu kumdhibiti na uonevu wa wazi,mbali na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Ilikuwa auawe kwa risasi ili asishiriki siasa kabisa akapona kwa sasa wanataka afungwe kabisa,huu wote ni woga laa!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Hii yote ni kumwogopa Lissu tu aisee majaji mwogopeni Mungu siku za kuishi duniani zinahesabika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    sheria si ingesema the maximum sentence shall be death hapo ndipo adhabu nyingine yoyote from 0 to death inaweza kutolewa. kwa sasa sheria haiko hivyo.
Back
Top Bottom