Recent content by Mkondakaiye

  1. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kamanda kova tuambie, Mgombea wa CUF ni n

    CUF bara haitafutika bali itaongeza idadi ya Wabunge na Madiwani na ruzuku itaongezeka. upo hapo
  2. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa CCM na matatizo yake kucheza game ya kusubiri UKAWA kuteua ni Kujimaliza

    Mbona ratiba rasimi haijatoka, sasa wanatega nn?
  3. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: CHADEMA ina uwezo wa kushinda majimbo zaidi ya 70% Bila kutegemea UKAWA

    wewe umetumwa kuharibu mipango ya UKAWA. Pole hutafanikiwa.
  4. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba uko palepale

    mwaka huu aibiwi mtu kura.
  5. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba uko palepale

    Kama uko pale pale kwanini tume ya uchaguzi haijatoa ratiba rasimi.
  6. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania John Mnyika akisindikizwa na wanamusoma baada ya mkutano, leo ni zamu ya Musoma vijijini

    kAMA WANAVYO JAA KUMSIKILIZA MSALITI ZITO KABWE.
  7. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kunani Magazeti Kudharau Mkutano wa ACT-Wazalendo, Songea?

    Hata vyombo vya habari vinahitaji chama makini kuing'oa CCM na sheria zao kandamizi. wataunga vipi mkono wasaliti waliowekwa na CCM ili kuvuruga upinzani?
  8. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mkutano wa ACT-Tanzania na matukio mengine ya chama

    source please
  9. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

    ACT msichonge sana tunataka matendo
  10. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    Jamani huyo anawapa heri ya paska, msimcheke.
  11. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania UKAWA wataka Maalim Seif awe makamu; CUF wasema haliwezekani ng'o!

    Uchonganishi umeanza, viongozi wa ukawa kaeni macho. CCM wanatafuta njia ya kuwagombanisha msambaratike
  12. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Chato ahamia ACT wazalendo

    Hiyo ndiyo kazi ya ACT kubomoa upinzani, sijasikia wakichukua wanachama CCM
  13. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hasa malengo ya ACT - Tanzania?

    Lengo kuu la ACT -Tanzania walijigeuza Wazalendo ni kupambana na CHADEMA. ndio maana wanavuna wanachama toka CHADEMA, lakini bahati mbaya wanavuna makapi.
  14. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya G.Lema, kweli CCM msimteue Lowassa mtakuwa na kazi

    Lema alisema ukweli, Nigeria Jonathani ameangushwa kwasababu ya ufisadi, na fisadi lowasa ataiangusha CCM oktoba
  15. Mkondakaiye

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Bahi kumeiva. Wananchi wakubali mabadiliko, warudisha kadi za CCM

    Wagogo wakiamka CCM haina chao, maana ngome yao imebaki kanda ya kati. ACT wao wanasubiri wajiunge CHADEMA waje waavue.
Back
Top Bottom