Jimbo la Bahi kumeiva. Wananchi wakubali mabadiliko, warudisha kadi za CCM

magu cdm

Member
Mar 18, 2015
60
15
katika hali ya kushangaza wananchi wa jimbo la bahi mkoa wa Dodoma wamewaomba viongozi wa mkoa kuhakikisha wanaleta jina la mbunge anayeweza kuwasaidia maana mpango wa kuchaguwa mbunge wa ccm mwaka huu haupo , tunataka chadema tunataka tundu lissu wetu na sisi Tanzania nzima hakuna mtu asiye lijuwa jimbo la lissu hayo ni maneno ya mzee moja katika kijiji cha makanda mzee alizidi kusema hapa kijijini tunaye kijana mpigania yaki wa muda mrefu anatusaidiya sana tunaomba sana viongoz tuleteni mtu ambaye atasababisha bahi tusikike bungeni na kupingania maendeleo ya bahi jimbo la bahi lina watia nia wane moja wahao ni Mathias Lyamunda katika mkutano huu watu walihamasika sana kujiandikisha ili watimize ahadi yao.uongozi wa chadema mkoa wa Dodoma upo katika operation maarumu katika majimbo yake wote tisa
 
Haya mchague LIssu wenu ikifika oktoba, CHADEMA lazi itawaletea kitu mwanana kiakili na uwezo wa kujenga hoja
 
Duuh hongereni sana watu wanataka watu wenye kujenga hoja za maana bungeni kwa manufaa ya taifa, siokuitikia tu kama ngoma ndioooooooooo......
 
Hapo umebugi mbunge mteule mkombozi wa bahi ni Diwani wa nakanda anthony lyamunda kupitia Ccm huyo matias hatumtambui
 
mathias vp mbona unajipa promo mkuu,acha hizo unajishusha hadhi mkuu.nilitaka kuja kugombea bahi ila kuna mambo yaliingiliana,nimeamua kukuachia ila ukifanya ujinga kama huu unajishusha hadhi
 
Ni jambo jema! Tunataka tupate wabunge aina ya lisu wa kutosha bungeni ili kuwatetea watanzania ikibidi hata usiku wa manane! Ccm wameugeuza mkoa wa dodoma ndo sehemu yao ya kusomba kura huku wabunge wake wote wakisubiri tu kusema ndioooo pale bungeni!
 
Hapo umebugi mbunge mteule mkombozi wa bahi ni Diwani wa nakanda anthony lyamunda kupitia Ccm huyo matias hatumtambui

Kwa nini huyu awe mkombozi kwani Mbunge wa sasa ni wa chamagani? Kama ni wa ccm, ameshindwa nini kuwaletea maendeleo wananchi wa Bahi? Hatutaki tena kujaza wabungewa "ndiyoooooooooooooo !!" bungeni.

katika hali ya kushangaza wananchi wa jimbo la bahi mkoa wa Dodoma wamewaomba viongozi wa mkoa kuhakikisha wanaleta jina la mbunge anayeweza kuwasaidia maana mpango wa kuchaguwa mbunge wa ccm mwaka huu haupo , tunataka chadema tunataka tundu lissu wetu na sisi Tanzania nzima hakuna mtu asiye lijuwa jimbo la lissu hayo ni maneno ya mzee moja katika kijiji cha makanda mzee alizidi kusema hapa kijijini tunaye kijana mpigania yaki wa muda mrefu anatusaidiya sana tunaomba sana viongoz tuleteni mtu ambaye atasababisha bahi tusikike bungeni na kupingania maendeleo ya bahi jimbo la bahi lina watia nia wane moja wahao ni Mathias Lyamunda katika mkutano huu watu walihamasika sana kujiandikisha ili watimize ahadi yao.uongozi wa chadema mkoa wa Dodoma upo katika operation maarumu katika majimbo yake wote tisa

Wagogo wakiamka CCM haina chao, maana ngome yao imebaki kanda ya kati. ACT wao wanasubiri wajiunge CHADEMA waje waavue.
 
sijaelewa anthony lyamunda wa ccm na mathias lyamunda wa chadema ni ndugu?????
 
Wagogo wakiamka CCM haina chao, maana ngome yao imebaki kanda ya kati. ACT wao wanasubiri wajiunge CHADEMA waje waavue.

Cha ajabu mbunge wake atakuwa anaishi Dofoma mjini au Dar,hataki kukaa na wenzake kwenye milima na maeneo ya mpunga
 
MATHIAS LYAMUNDA MBUNGE MTEULE WA BAHI 2015 hata ccm wwana jua hiyo juzi kinana anapita kule shule haina bati alafu mnasema nini mathias ni mchapa kazi karibu na vijana mcha Mungu si mwoga kabisa
 
mathias vp mbona unajipa promo mkuu,acha hizo unajishusha hadhi mkuu.nilitaka kuja kugombea bahi ila kuna mambo yaliingiliana,nimeamua kukuachia ila ukifanya ujinga kama huu unajishusha hadhi
issa ramadhani Mimi nina verified ID hapa JF, sihitaji kujificha. Aliyeweka hii post uzuri kaweka na picha yake hapo, ni vizuri ukaelekeza maswali kwake.
 
Last edited by a moderator:
issa ramadhani Mimi nina verified ID hapa JF, sihitaji kujificha. Aliyeweka hii post uzuri kaweka na picha yake hapo, ni vizuri ukaelekeza maswali kwake.

mathias naamini saa ya ukombozi imefika kamanda je vipi tukoje huko maana idodomia ndio kitivo na tumekua nyuma kidogo habari hizi ni za kusisimua lakini zitasisimua zaidi kama nikisikia kutoka kwako tupe hali halisi ikoje.
 
Yule ni mtupu upstair hatapewa ubunge labda kura zipigwe usiku
 
Back
Top Bottom