Rais John Magufuli ametaja moja ya sababu zilizomfanya kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Valentino Mlowola kuwa alishindwa kushughulikia mgogoro ya ardhi uliojitokeza mkoani Musoma.
Akizungumza leo Septemba 7 wakati wa ziara yake wilayani...
Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kuwa Bunge la Oktoba mwaka huu halitakuwepo kama Sheria ya Kurasimisha Dodoma kuwa makao makuu ya nchi isipopelekwa Bungeni na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Amesema kuwa hakuna sheria nyingine yeyote itakayosomwa ndani ya Bunge hilo ikiwa sheria hiyo...
Mbunge wa Serengeti Marwa Ryoba amesema ahafahamu kuwa Makinikia ndio sababu ya Tundu Lissu kupigwa Risasi na Mungu anajua hata kama wabunge wengine wakijifanya hawafahamu. Aidha amehoji ziko wapi Bilioni 700 ambazo ziliahidiwa kulipwa na kampuni ya Acacia baada ya mazungumzo yaliyofanyika...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es salaam na kubaini malori 44, yaliyokuwa yakitaka kutolewa bandarini hapo bila ya kufuata utaratibu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaka Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark wakamatwe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.