Kwenye huo uzi wa birthday party nyumbani kwake NY, mleta mada Rashidi Jololo alinena kama hivi:
BIla shaka akiwa kwenye kumnukuu huyo mnene mzaliwa was mujini.
Na kumewekwa angalizo mle BIla shaka tokea kwake:
"NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba."
Kwamba yeye ana pesa Kwa sababu amechapa sana kazi.
Ya kuwa "hakuna njia ya mkato kukuleteeni...
Palikuwa na habari hii:
Ng'ambo za NY Huko:
https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-uweso-akisherehekea-birthday-yake-nyumbani-kwa-jk-hapa-new-york-marekani.2079187/
Kweli ni hatari si kidogo!
Bandari na wote wenye kutuchukulia poa haitusimamishi kukomaa nao wote sambamba.
Unyonge huu hadi lini?
vodacom wametukosea sana Kwa kutuweka hatarini kwa kutuzimia huduma tulizolipia tena kinyume cha makubaliano.
Nzengoni kwetu huratibu usalama wetu kwa kujuliana Hali kidijitali.
Kulikoni...
Kwenu: vodacom:
Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine.
Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/page-4
Bado unataka na ubini?
Unapiga mule mule. Tuonane Nyasubi kwa SS asubuhi leo kwa taarifa zaidi.
https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/page-4
Unaye changanya mambo ni wewe.
Hupendi mchungaji mhanga kujaribu kutafuta haki zake kutokea kwa mawakili huru?
Yeye alikuwa mwajiriwa. Kafukuzwa kazi. Hupendi ajipiganie Kwa mujibu wa sheria Ili haki yake kama ipo apate?
Think big mkuu hakipo kisichoeleweka. Huu ni ushauri wa tu Kwa mchungaji...
Umemwelezea vyema kutokea kwenye habari mama:
https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/page-4
kipara kipya utambulisho wake kamili hili hapa.
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.