Recent content by mkolejr

  1. M

    JamiiForums Mashine za uwakala wa benki

    Na hapo bado unatakiwa ununue zingine, imagine!!
  2. M

    JamiiForums Mashine za uwakala wa benki

    Mi nahisi mapato sio issue, kama muamala mmoja bank ilikua inapata 100tshs ukipata 80tsh sio mbaya, hiyo 20tshs inaenda kwa mtoa huduma wa kati, maisha yanakua rahisi. Sio hii ya kua na mashine 20 kwenye meza za benk tofauti
  3. M

    JamiiForums Mashine za uwakala wa benki

    Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha uwe na za benk zote hauwezi, na utakuwa nazo nyingi na zitakuletea usufumbufu sana. Kwanini BoT...
  4. M

    JamiiForums GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mh. Tundu Lissu, a) Itakuchukua muda gani kubadilisha Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kikokotoo baada ya kuingia madarakani? b) Na je vipi kuhusu makato makubwa ya Loan Board na maslahi kwa kwa wafanyakazi, tutegemee nini?
Back
Top Bottom