utumbo at work........, habari ya mjini mbio za uchaguzi chadema washika kasi kila kona nyomi la kutosha bavicha wajitokeza vijana kwa wingi kuchukua fomu.
ben saanane, hana uwezo wa kumiliki jukwaa hiyo ni sifa kuu ya m/kiti tunayemtaka kama alivyokua anaweza heche. Ben mpe dakika tano hawezi kusimama jukwaani lazima aombe kushuka, mtoi sasa ivi ana miaka 32 so hana sifa za kugombea. Nyerere atakua mjumbe wa kamati tendaji.
Dan hana sifa sababu sio mzuri katika kujenga hoja ila hua anapayuka kuliko kujenga hoja, pili ana hasira za karibu so ni vema akawa mwenezi kutoka na sifa tajwa hapo juu. Mruta ni mzuri kujenga hoja na strategist na hata ukimtazama vipindi vya kipima joto hua anaonyesha uwezo wake. Hatari nae...
siku ya jana uongozi wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola...
Makwilo alihujumu uchaguzi 2010 wa udiwani, baada ya kumleta alhaj kabunda kuja kugombea kata na yeye makwilo kwa kua alikua mwenyekiti wa kata alifanikisha kabunda kupita, lakini kiuhalisia walipanga dili. Kwani kabunda toka achaguliwe kuwa mgombea hakuonekana hadi leo na kata ccm walishinda na...
naona kijana unahangaika cdm labda nikujulishe kuhusu makwilo tunayemjua. makwilo amejiunga na cdm mwaka 2008 akitokea chama cha cuf na kisa cha kuhama cuf ni kuwa alipata matatizo ya kuugua na akili (uchizi) na alidai kipindi chote anaumwa cuf hawakumsaidia.
mwaka 2009 aligombea nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.