Recent content by Mkodoleaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali la ugomvi: Mnataka vipi mabadiliko wakati tayari mmebadilika?

    Mwanakijiji wewe unasema hujabadilika wenzio wanakuona umebadilika. Siyo yule kamanda waliyekuwa naye wakati huo. Tatizo ni nini? Tatizo kubwa kwangu mimi ni mtazamo wa mabadiliko. Wakati wewe muda wote uliangalia watu wenzio walingalia mfumo. Kwa mfano wewe unaona Lowassa ambaye alikuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Sasa Mzee Mengi amejiaibishaje hapo? Ametahadharisha watangaza nia waache unafiki. Huwezi kusema mwenzio mla rushwa wakati na wewe mwenyewe ni mla rushwa. Hapo kawaambia ukweli tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    PMM, Wanasemana wao kwa wao kwa sababu hawana cha kuwaambia wananchi. Matokeo yake wameanza kudandia hoja za akina Slaa ambazo wamezitoa toka mwaka 2008. Mimi najiuliza kwa mfano, toka list of shame imetoka pale Mwembeyanga je wizi na ufisadi serikalini umepungua? au je toka Lowassa amejiuzulu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Mzizi wa Mbuyu, Kama hayo yangesemwa na UKAWA, mimi sina tatizo. Tatizo kwangu linakuja kwa CCM kama mtu ni fisadi kwa nini hawakumfukuza toka siku nyingi? Na kama alikataliwa na Mwalimu (usisahau pia alikuwa na ujasiri wa kumtuma Kawawa aende akamwambie Mwalimu akamsafishe ili asishindwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Mzizi wa Mbuyu, kama walimwona ni gamba walitakiwa kumvua kabisa siyo suala la kumwita tu. Hapo ndiyo napata shida na dhamira yao. Kama walishindwa kumvua gamba, kwanini wanataka sisi tuwasaidie kufanya kazi hiyo? Sababu ni moja tu, kwamba wote siyo wasafi. Soma huu ujumbe wa Mengi. Na wote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Wanaoomba kuteuliwa na CCM wanashangaza sana. Wanasema watapambana na ufisadi na wanauchukia. Ufisadi hauwezi kuondolewa kwa matamko ya jukwaani kwa sababu siyo itikadi. Ni tatizo la kitaalamu ambalo linahitaji kuboresha utendaji wa taasisi kama TAKUKURU, POLISI, MAHAKAMA nk. Hivyo ni suala pana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia wa CCM swali la kisiasa kutafutia majibu ya kitaalamu ni ukosefu wa umakini au ghiliba

    Makiri una maana gani? Funguka zaidi basi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia wa CCM swali la kisiasa kutafutia majibu ya kitaalamu ni ukosefu wa umakini au ghiliba

    Toka zoezi la kutangaza na kuchukua fomu kwa CCM kuibuka mambo mengi sana. Lakini kubwa lilillojitokeza ni nguvu za Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa. Lowassa alianza kutangaza nia kwenye mkutano wa hadhara na wagombea wengi tu wakafuata nyayo zake. Mimi nitamwongelea Lowassa na jinsi gani...
  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sheria inazuia polisi wa kike kuwa na mvuto muone Linda Okello wa Kenya

    Nimesoma hizi habari nikawa najiuliza hivi hata kwetu Tanzania sheria zinazuia askari wa kike kuwa na mvuto? Linda Okello, the Kiambu Police Woman with "tight up skirt" to face disciplinary action. She will be transferred to Mandera!! Policewoman in skirt saga fears looming transfer | Nairobi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

    Nyumba kubwa, Ni kweli hicho chuo ni kizuri, lakini na sisi tunatakiwa tuanze ili baadaye tuwe na chuo kama hicho. Sasa kama tunaanza kwa kutoa scholarships badala ya kufikiria kujenga chuo ni mwanzo mbaya. Sisemi kuwa kwenda huko wachache ni mbaya, lakini kama nchi na kama tunategemea hii sekta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Bana: Takwimu za tume ya Warioba sio za kisayansi

    Ingawaje siyo vizuri kuwajibu madaktari, lakini mara nyingine huwa wanazidhalilisha elimu zao. Kwanza sayansi ni nini mpaka aseme kuwa takwimu za Warioba siyo za kisayansi? Kitu cha pili nadhani wanaomchallenge Warioba kwa kutumia kanuni za utafiti wanatumia mtazamo mmoja tu (yaani quantitative...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

    Mimi kwa kweli ningependa badala ya kupeleka wataalamu 20 nje, walete wataalamu/walimu wafungue chuo hapa. Baada ya miaka 10 tunaweza kutoa wataalamu wengi zaidi kuliko kupeleka huko nje.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

    Hivi kuna umuhimu gani kwa sisi kuendelea kuwa ndani ya Jumuiya ya Madola kama vitu vidogo kama hivi bado hawawezi kuvifanyia hapa nchini?? So humiliating
  15. M

    JamiiForums Tanzania Burundi can teach Rwanda

    Nimeipenda hii. Hasa kufanya makabila yetu kama chanzo cha utani na siyo uhasama. Kwa hiyo sheria tu haisaidii. Chanzo BBC BBC News - What Burundi could teach Rwanda about reconciliation What Burundi could teach Rwanda about reconciliation...
Back
Top Bottom