Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kureset my application kwenye akaunti yangu ya NACTE na je kuna malipo yoyote yanatakiwa kufanyika? Vile vile ningependa kujua mwisho wa kureapply kwa sisi tuliokosa vyuo kupitia NACTE ni lini? Akaunti yangu hadi sasa imeandika...
St John's vision statement is; "To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve"
Our aim is to provide a high quality holistic delivery of university knowledge with a view to producing a well educated human being theoretically, practically and spiritually in...
Habari ndugu zangu, TCU wmethibitisha wale wote walioomba second selection. ukitaka kujua kama umekubaliwa kwenye chuo ulichoomba au laa. Fungua akaunti yako ya TCU then ANGALIA KWENYE MY PROFILE HALAFU ANGALIA HAPO JUU KWENYE SELECTION STATUS UTAONA WAMEANDIKA APPROVED badala ya In progress...
Habari zenu ndugu zangu, leo nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta tangazo la Not yet done any application halafu kwa juu kidogo nimepewa bonge la tangazo SECOND ROUND halafu vyuo vyote ni kama vinavyoonekana hapo chini....ila nilipotaka kuapply nikaambiwa APPLICATION FOR SECOND ROUND WILL BE...
Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi nilimjazia mdogo wangu vyuo kupitia CAS TCU tangu tarehe 27/7/2014 nilimjazia course nne nikaacha moja ili nikipata chuo kingine nije nijaze tena lakini kilichotokea ni kwamba leo nimeingia kwenye akaunti sijakuta hata cozi moja. nikajaza upya ila...
Habari, kama wewe ulifanya second application kwa wale ambao walikosea application zao. Ukitaka kujua course uliyochaguliwa na chuo ingia kwenye profile yako, bofya kwenye view my selection status, chuo na course utakayoikuta ndiyo hiyo uliyochaguliwa. MUHIMU: kama ukikuta chuo na course yako...
bora yao wananunua Tsh.10,000/= huku kwetu 20,000/= na ni lazima uingie nalo kwenye test kama huna wewe ujijue ni direct carry course. Hii ndio nchi yetu ya kifisadi mpaka yehova atakaporudi
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 naishi Tabata Jijini Dar es salaam, nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.
Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana...
wale wa incomplete forms kama ulishafuata utaratibu na kupeleka zile documents muhimu na ni mwaka wa kwanza uliyemaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma mkopo kwa BATCH 1 unao ondoa shaka.
Habari zenu ndugu zangu wana JF. Nilikaa kimya sana mdodosaji ila naamini ya kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu. Jana nilikuwa ndani ya ofisi ya HESLB kuendelea kudodosa kulikoni sisi wa loan verification na wengine majina yetu yaliyopelekwa kusiko stahiki. Majibu niliyopewa ni kwamba toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.