Recent content by mkereketwatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    vijamaa vingine bana....hapo chenyewe kimeona ndo fursa ya kusikika... hivi kijamaa kina taaluma gani, kinajua lolote khs auditing...kinajua kwamba kabla ya kuandika report wanapitia stages za vikao na kutafuta majibu ya findings walizopata kipindi cha ukaguzi? hiki kijamaa kinajua baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli azindua Kiwanda cha Sigara(Philip Morris). Aagiza wafanyabiashara wadogo wa Stendi kutobugudhiwa

    DAAAH SASA ANAPONDA MAFUTA KULETA KANSA WAKATI HUO HUO ANAZINDUA KIWANDA CHA SIGARA..... MUNGU BABA TUREHEMU!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bifu la WCB na Efm sasa limeisha rasmi

    mwandishi atakua wa wcb....issue ni kwamba wcb washajiona kina 50cent kwamba they dont need any media...kwamba wakitoa nyimbo zao youtube inatosha yani wewe ndo ufanye wanachotaka...hahahah sasa wamechacha wanafanya interview na radio ndogondogo imebidi wakampigie goti dj ndo yakaisha....yule...
  4. M

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

    Hakuna kitu kibaya kama demu mkalii alafu kilaza....ataliwa left n right...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

    hata mimi sijioni nikinusurika kwa hao warembo....mbunge nae binadamu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Mimi sitaki Mungu "ampende zaidi"...nataka aishi ili ashuhudie ukuu wa Mungu....aligomea kupitisha fedha za matibabu ya mwenzake naombea TL apone kabisa arudi uraiani huku yeye akiendelea kujiuguza ili asimulie ukuu wa Mungu... Na hii itakua message nzuri kwa wote wanaojivika Uungu Mtu humu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    ONGELEA PIA NA WANAFUNZI WAKO ULIOWAUNGUZIA ACCOUNT ZAO KUTOKANA NA FAKE SIGNALS BOSS WAKO ANAZOWAPA , PIA ONGELEA KWANINI MWAMKO WA WATZ UMEPUNGUA SANA SASA HIVI? KWANINI HAWATUMII TENA BROKER WENU...? PUNGUZA MBWEMBWE TUNA TAARIFA ZOTE ZA YANAYOENDELEA KWENYE TAASISI YAKO MWEZI NOV - DEC 17...
Back
Top Bottom