Recent content by mkereketwa11

  1. M

    Hotuba ya Rais ya Kikwete kwenye baraza la Idd-Mawazo yangu

    Nadhani ndugu zetu waislamu wamepata walichokitafuta! Wakati wa kampeni walishiriki kwa nguvu zote kuipigia kampeni ccm kwa kuamini kwamba muislamu mwenzao akishinda agenda yao ya kulazimisha uislamu kujipenyeza kwenye system ya serikali itafanikiwa. Siwaonei huruma kwani juzi tu waliwatukana...
  2. M

    Taarifa ya Lissu kwa vyombo vya habari kuhusu Spika wa Bunge

    sometimes tunapoteza muda kujadili vitu ambavyo ni dhahiri shahiri! kwani ndugu zangu S.Sita aliondolewa kwenye nafasi hiyo kwasababu gani? ni dhahiri ccm hawakupenda the way alivyokuwa transparent na kuliachia bunge lifanye kazi yake. Hivyo walivyomtoa na kumuweka huyu mama i expected from very...
  3. M

    Tanzania ijifunze toka Tunisia; Wananchi wakizidiwa watawala hutimuliwa

    Kama ccm na aina ya viongozi wake kama makamba wametawala, ni dhahiri CDM wanaweza kufanya vizuri zaidi.What so special na ccm mpaka mtoa maada aone hakuna chama mbadala? Ni hayo madudu ya dowans na hizo tabu za maisha?Problem with most of Tanzanians are very cheap! Can be simply bought by cheap...
  4. M

    CCM na Mpango wa Kumuua Zitto

    Watanzania msiwe cheap to that extent! Zitto asituchanganye kwa propaganda za kitoto nadhani tunamambo mengi ya kufanya! Ametuhumiwa kuwa namawasiliano na watu ambao inatia shaka kama kweli aalichokua anakitetea bungeni haikua mchezo wa kuigiza. Ameonyesha hadharani anamheshimu mwenyekiti wa...
  5. M

    Vita ya Umeya Kigoma, Zitto kukamatwa na kushitakiwa leo

    kama Zitto huyuhuyu wiki mbili zilizopita alituhumiwa kuwa na ukaribu wa kimawasiliano na kimkakati na watawala na ushahidi ukaanikwa, inakuwaje leo watanzania muamini watawala wanamuonea kwa kumfungulia kesi! Cha kujiuliza ni nani yuko against Zitto kwenye hiyo kesi kama kweli ipo, je watawala...
Back
Top Bottom