Recent content by Mkereketwa no.3

  1. M

    Leo katika Historia : Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Ndugu punguza jazba! Toa haja na usome kwa makini nilichokiandika.Nimesema, "kuna bonde kubwa kati ya tajiri na maskini hapa nchini" na sii ndani ya CCM.Ndani ya ccm inawezekana hakuna masikini! Sasa hawa wakina mama wachuuzi na wamachinga wanaokimbizwa kila siku mjini serikali na chama chenu...
  2. M

    Leo katika Historia : Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Sasa unataka hoja gani! ccm kuwa kimbilio la maskini wakati ukiangalia kuna bonde kubwa kati ya maskini na matajiri wakati huu hapa nchini. Mijini badala ya kuwawezesha wakina mama na wamachinga, serekali ya ccm ndiyo inayowakodolea macho Mgambo wa majiji kama Dar,Arusha,Mbeya ,Mwanza na...
  3. M

    Leo katika Historia : Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Kuna mambo mengine unayopaswa kukaa na familia yako na kuwakaririsha kama hili kuwa CCM ni mama yao!! na sio kuja kutukaririsha wengine. samahani sana.
  4. M

    Tulijadili hili la James Mbatia kwa kina kwa maendeleo ya taifa letu

    Mbona jibu hapa ni jepesi! Raisi anapoteua mtu kuwa mbunge ktk zile nafasi 10 alizopewa kisheria, haimaanishi kuwa aliyeteuliwa aongozwe kama rimoti na matamanio ya aliyemteua au matamanio ya chama atokacho raisi.Hapana.Hapa anatakiwa afanye kazi kwa maslahi ya Taifa n SIO kwa maslahi ya...
  5. M

    Tulijadili hili la James Mbatia kwa kina kwa maendeleo ya taifa letu

    Nadhani mleta mada hana jipya huyo.Labda anaona nongwa UKAWA kuungana na kuwa na sauti moja.Ni bora tumpuuze kama tunavyoipuuza hoja yake.
  6. M

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Ndugu zangu Wanachadema. sasa chama chetu kinapitia katika wakati mgumu sana kuliko wakati mwingine wowote! Kuna mapandikizi ambao wamo ndani ya chama ambao wana tafuta kila njia kukiua chama.Hawa wakina Mwigamba na wengine naomba tuachane nao kabisa, kama yeye anania nzuri na chama na kama...
  7. M

    CCM kitakufa mwaka 2015 na hakitarudi tena

    :bange:Kati ya Wanyiramba wanaoona mwisho wa Pua zao ni pamoja na huyu jamaa Nchemba!!!! Nduguyangu vuvuzela la ccm nchemba, nakushauri uanze kutafuta kazi nyingine ya kufanya kwa vile baada ya 2015 utakuwa kijiweni huna kazi wewe na wenzako wa ccm.Napenda kuku hakikishia kuwa, ndoto ulizoota...
  8. M

    Maswali 6 muhimu kwa Nape Nnauye kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na kuepusha machafuko

    MAMA POROJO! Kweli wewe ni Mama porojo!!! Ulishajitambulisha kwa Nape akupe kazi ya Vuvuzela?
  9. M

    Maswali 6 muhimu kwa Nape Nnauye kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na kuepusha machafuko

    sijakuelewa!!! Funguka! Acha kumumunya swali sema, msingi wa swali lako ni upi, na unataka kuuliza nini.kama huwezi mada mwachie nape mwenyewe.
  10. M

    Maswali 6 muhimu kwa Nape Nnauye kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na kuepusha machafuko

    :focus: Mkuu unashangaza sana! mleta mada anasema tuonyeshwe hata picha za mazishi ya Balali! Hata picha za mazishi ya raia wa Kitanzania zinahusu Majeshi na zinahitaji taratibu za kijeshi kuzitoa? SAMAHANI NILIKUWA NAPITA TU NIKAONA HII MADA!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
  11. M

    Maswali 6 muhimu kwa Nape Nnauye kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na kuepusha machafuko

    Ni maswali mazuri sana sana lakini namashaka kama huyo Nape atathubutu kuyajibu.La ajabu anaweza kusema ni maswali yenye lengo la UCHOCHEZI.
  12. M

    Dr. Slaa alipua bomu, Mnyika awatolea uvivu Nape na Mwigulu

    :A S-baby:Wewe vipi!!!! Unamwita Dr. Babu!!!! Alimzaa Mama yako Au Baba yako!? wewe ndani ya ccm ni nani,au na wewe umeshaorodheshwa kwenye kamati ya mavuvuzela wa chama? Dr anaposema ana data mweleweni tu hivyo hivyo habahatishi kama wakina Nape. Na maswala ya Slaa na kanisa wewe yanakuhusu...
  13. M

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    :focus: AMA KWELI AKILI ZAKO ZINAKUTOSHA WEWE TU.WASANII WENU WEWE NA NANI! UNAMSANII YEYOTE WEWE?AU CCM KUDANDIA MSIBA ISIYOWAHUSU. UKIFA WEWE NDIO ATAHUDHURIA. JINGA KWELI WEWE!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa nini Dr. Slaa apendi kwenda kwenye misiba ya wasanii wetu. Dr. Slaa anaonekana kwenye misiba...
  14. M

    CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    :plane: Unaumwa wewe,unaishi wapi ndugu yangu? au mnakaa kwenye nyumba za hao vilaza ccm wewe na Nape? Mpaka sasa hujaamini kuwa tayari mmeshagaragazwa kabla hata ya uchaguzi wa 2015!!!!!!!!!!! Wewe kweli ni kilaza!!!!!!!!
Back
Top Bottom