Recent content by Mkendo

  1. Mkendo

    Katibu Mkuu Mnyika ndiye anawasilisha NEC majina ya wagombea wa CHADEMA,uteuzi wake unapingwa, Msajili wa vyama akimtengua, its over!

    Tushawaachia uchaguzi wenu na Tume yenu ya CCM, No Reforms No Election.
  2. Mkendo

    PreGE2025 Njombe: CCM watoa tamko kupigwa vibaya Mwenezi wa BAWACHA

    Vipi wanaotekwa na kupotea mazima washawahi kutoa tamko lolote? Chawa mnakera sana , mnaokomaa na habari za uongo wambie wenzio No Reform No Election.
  3. Mkendo

    Habari ya Mjumbe wa Kamati Kuu kupigwa na mlinzi, ni ya kupikwa

    umeeleweka mkuu mara nyingi watu aina hii uwa wanamatatizo kichwani.. Ni vizuri kamati ya nidhamu ikae na kuchukua hatua dhidi yake.
  4. Mkendo

    Kama kijana ukipata nafasi ya kukutana na Rais Samia na Rais Mwinyi ndani ya dakika 3 utatoa ushauri gani?

    Ningewaambia wajiuzulu watu wanatekwa na kuuwawa wao wapo hakuna hatua wanachukua.. Mbaya zaidi hata maiti zao hazionekani wapendwa wao wakawazika.
  5. Mkendo

    Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

    Sheria za uchaguzi zimekaa kuibeba CCM, ngoja TAL afungue watu masikio inatakiwa ifike mahali Kura yako iwe na thamani. Siyo hizi brah brah za Mkaza mwana , kilichotokea uchafuzi wa serikali za mitaa ni Msiba kwa Demokrasia. Wanasema kawia ufike kwani tuna haraka gani, acha yatengenezwe...
  6. Mkendo

    Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Sitaki kuamini kama wewe unaweza kukosea kuandika neno rubani.
  7. Mkendo

    Umuhimu wa KATIBA MPYA: Mkuu wa Itifaki Serikalini avaa nguo za CCM

    Ukisha vaa rangi za mboga mboga katika kuadhimisha siku ya Chama cha Mboga mboga na wewe ni mfuasi wa chama cha Mboga mboga.
  8. Mkendo

    Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Usijali mtani hongera sana kwa kuchukua medali.
  9. Mkendo

    Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Mji umetulia....
  10. Mkendo

    Watu wenye akili wanaisha taratibu, Miaka ijayo nchi itakuwa na ombwe la wataalamu na watabaki wachekeshaji kama viongozi

    Mpaka akili ziwakae sawa, si mmekubali kuongozwa na CCM. Watunga sheria mjengoni ndiyo wale kina Musukuma na Kibajaji, Njoo kwa wakuu wa wilaya ndiyo yale Majambazi yaliyoachiwa juzi toka jela na wavaa vichupi. Kila kitu ni shaghala baghala.
  11. Mkendo

    Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

    Sawa Mkuu nakuombea uhai, ili uje ushuhudie siku moja tukitwaa huu Ubingwa.
  12. Mkendo

    Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

    Vipi ushatoka Shakahola msituni, vipi wewe ukufunga mpaka kufa.
Back
Top Bottom