Recent content by mkemwemaissa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini Wamkana Zitto Kabwe na Kigoma Kaskazini Serukamba amekataliwa

    Anatumia njia feki yeye anapendwaje kila jimbo zz??jamani acheni tulale
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Poleni sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Vyote ni vya kwake ila kutoroshwa ni muhimu kwa sababu vinasia sauti alisemea viliwekwa sumu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    Kila la kheri uzalendo uwe wa vitendo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shule za Sekondari za Serikali zimeanza kufungwa kwa kukosa chakula cha wanafunzi

    Serikali haina pesa za kulipa wazabuni wanaotoa Huduma ya msosi katika shule,imefirisika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatma ya ACT Tanzania 25 Machi, 2015

    Yote kheri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Rais ajaye wa Tanzania 2015 - 2020

    Mmmmm napita tu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Hakuwa na jinsi zaidi ya hilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Zitto Kabwe

    Mashaka yangu Act ni hiyo nyota mliyoweka kwenye kadi zenu na kwenye bendera!hiyo ni nembo na utambulisho wa dini ya kiislamu.Nashauri mbadili hyo nyota ondoeni mtapata wengi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Hakika umaarufu na mafanikio ni adui wa mtu yeyote duniani tuombe Mungu atusaidie watanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaishi kwa Matumaini...

    Tutakufa sio mchezo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Ukaguzi: Vyama vya CCM, CHADEMA vyapata hati zenye mashaka

    Waeleze maana wamezidi sasa,cdm hawa wao wakifuja pesa ni halali ila wenzao ni haramu eti?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Anna Kilango, Sitta, Zitto na Asumpta Mshana

    Kila mtu kwenu hafai anafaa nani sasa?Tanzania bwana kuna raha ktk siasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, Anna Kilango, Sitta, Zitto na Asumpta Mshana

    Umeshindwa la kupost eee!!
Back
Top Bottom