Kabisaaaaa arudishe mali, ziwekewe watoto, yaani limwanaume lingine ndio lije lifaidi mali ya mwenzake.alafu na wewe tukuulize ulijuaje house gal aliitwa Chemba, na umejuaje hayo mambo yote ya familia ya kina msuya yanayoendelea na wakati hamko karibu na ndio maana hata kwenye msiba hamkwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.