Recent content by Mkayah

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hamad Rashid akidondoka CUF mnyakueni, ili mzoe kura za visiwani

    Hana issue atembee zake huko Pemba akalime Karafuu nasikia imepanda sana bei! anapenda sana kuongoza afu hapendi kabisa kuongozwa. Sasa CHADEMA atamuungoza nani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Akomae eeh! Okay, wacha na sisi tukomae tusipande hilo likivuko lao tuone kama watavushana wao kwa wao! nchi ni ya kwetu lakini tumekuwa kama tuko UTUMWANI, Viongozi wa sasa mambo mengi wanajiamulia tu wenyewe! ngoja 2015 ifike!
  3. M

    JamiiForums Tanzania blackberry bold 9780 na bold 9000 for sale

    Vipi mkubw? Ni mchina au sio? Ni mnani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Blackberry Curve 8520 mpyaaa na Curve 9300 3G mpya

    Nahitaji mara moja mkuu 9300 3G
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

    Vp bingwa mbona kimya sasa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rav 4 inauzwa

    Kama ni manual kula 7.5m kama Auto kula 7m mkuu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

    Samahani sana ndugu yangu nimechel ewa kuingia humu jamvini, safi sana NITUMIE HARAKA TUMALIZE MARA MOJA MKUU!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rav 4 inauzwa

    ejntoga@ovi.com
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

    Nitaipataje sasa mkuu maana mimi ni Mahenge Morogoro?
  10. M

    JamiiForums Tanzania New Phones (BlackBerry and Samsung)

    Blackberry ni ya kichina?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

    Kula 300000/-
  12. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Land cruiser vx

    Ya mwaka 1992, 93, 94, 95 au 96 inayotumia Diesel iwe Auto poa lakini Manual ingekuwa poa zaidi mkuu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Land cruiser vx

    Bongo, used boss!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Land cruiser vx

    Used,Bongo boss, Dubai si mpaka nizichange sana!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Land cruiser vx

    Natafuta toyota landcruiser vx ya kununua, nina 20m, Tsh.
Back
Top Bottom