Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Ina 12MP Camera,carl zeiss optics,)inatoa picha vizuri sana)xenon flash,16GB internal memory,GPRS/EDGE,WLAN IEEE802.11b/b/n,(unaweza kuunganisha internet kwenye computer na ukaperuz page kama kawaida),bluetooth,HDMI,HD quality 720p resolution,focal length 5.9mm,MPEG-4,WEB TV,RADIO,etc Angalia attachment.niko moshi kwa sasa lakini ntakuwa dar na moro by next week around x mass. serious buyers only unaweza kuniPM
 
Attachments

  • Image0042.jpg
    Image0042.jpg
    211.7 KB · Views: 114
  • Image0040.jpg
    Image0040.jpg
    116.7 KB · Views: 71
Sijasema hiyo yako Kiongozi , nilitaka tu kuonesha jinsi gani wachina wanaharibu masoko ya watu.
 
Ina 12MP Camera,carl zeiss optics,)inatoa picha vizuri sana)xenon flash,16GB internal memory,GPRS/EDGE,WLAN IEEE802.11b/b/n,(unaweza kuunganisha internet kwenye computer na ukaperuz page kama kawaida),bluetooth,HDMI,HD quality 720p resolution,focal length 5.9mm,MPEG-4,WEB TV,RADIO,etc Angalia attachment.niko moshi kwa sasa lakini ntakuwa dar na moro by next week around x mass. serious buyers only unaweza kuniPM

Finland hawatengenezi za kuchakachua?
 
Jamani hakuna mwenye ofa hiyo? Nyie mnataka vya bei cheee? Vya bure(bei chee) vina gharama
 
Vijana mmeshindwa kuchukua chombo hii jamani?
 
Imetumika mkuu na bei tunaweza kuongea zaidi,ila iko vizur
 
Hee kama ya kichina 75 si bora nikachukue? Kwani tofauti ni nini naona hata wachina wana hd phone tena ziko fresh
 
Tufanye utaratibu kuna m2 yuko huko namtumia,then we unaonana naye huyo mnamaliza biashara,kama ni real serious
 
Tufanye utaratibu kuna m2 yuko huko namtumia,then we unaonana naye huyo mnamaliza biashara,kama ni real serious

Samahani sana ndugu yangu nimechel ewa kuingia humu jamvini, safi sana NITUMIE HARAKA TUMALIZE MARA MOJA MKUU!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom