Recent content by mkata upepo

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Taarifa yako hajitoshelezi unataka usaidiwe nn mdau maana maana wahusika wa kuomba rushwa hujawaweka bayana
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Inaonekana una roho ya kukunja mwamba akupige chini
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    weka jina kamili, namba ya simu,,mtaa unakokaa,nyumba namba tukupe msaada wa haraka
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Hujaelewa nn kakope songesha acha kulipa hlf omba NMB mshiko fasta huwez kupewa huo mkopo hd ulipe hilo deni la mtandao wa simu ...kwa sasa mikopo yote ya simu imewekwa mfumo kusomana na mikopo ya kawaida ya bank
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NEMC mmeruhusu viwanda vichome plastic usiku kucha kwenye makazi yetu?

    malalamiko yako hayajajitosheleza elezea ni wap ni mtaa gn mkoa gn wilaya gn kiwanda kip ...kwa maelezo hayaako NEMC watakusaidiaje
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Toa point zako za kitaalam mwenzio katoa tuone zako
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Mwanza waunga mkono NETO, Waitaka Serikali Itoe Ajira

    Kosa lake ni nn hd ashughulikiwe kwan kasema uongo
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    mali ya mchungaji hiyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utapeli wa Mtandaoni kwa Wanunuzi wa Pikipiki, Bajaji, na Maguta

    Na nyie weken logo yenu tuione ikoje isije ikawa ndio wale wale kukwepa kodi TRA maana wabongo hatuchelewi kupindisha michongo ya hela
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA kanda ya Temeke wananizungusha kubadili Tin location, uwajibikaji wao ni wa mashaka mno

    Tuletee namba za simu za wakwamishaji hao wa mambo ya watu
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    habari haijajitosheleza chuo kinaitwaje??je ni chuo kikuu au ni chuo cha kati??
Back
Top Bottom