Recent content by mkariman

  1. M

    Tundu Lissu: Judge Candidates by their DEEDS not WORDS Alone

    Lisuuu acha maneno Fanya matendo. Maneno meeengi, unajipigia promo!!!! Hutochaguliwa
  2. M

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Hakika subira huniongoza, ninaamini mda ukifika gwajima ataumbuka vibaya sana. Sijui familia yake itaamia msikitini ama Freemason.
  3. M

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Msema chochote humaliza maneno yote kamwe habakizi maneno ya akiba kwa sherehe ijayo. Ukimya una jambo, ndio busara, mda ukifika msema chochote atanywea.
  4. M

    Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

    Mh hakosei, labda wale wanaomtakia akosee ndo wanakuza mambo. Naamini kama wawekezaji wana manufaa kwetu wataendelea na shughuli zao pamoja na kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Kama hawana manufaa wataondoka maji yapatikane pia. Jambo la msingi hapo ni maji kupatikana eneo husika. Magufuli...
  5. M

    Hili la shule ya CCM kutaifishwa ni kipimo cha akili zetu za kutafakari mambo

    Mleta mada, tafuta sababu kuu ya kutaifishwa kwa hiyo shule then ndo uanze kuuliza vijiswali vyako vya uchonganishi.
  6. M

    Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

    Muhongo kashasema yeye na wizara yake hawakuhusishwa kwa hilo, alafu nyie jamaa mnasema walikuwa wanataarifa before, mbaya zaidi mnaenda mbali zaidi eti na ikulu walikuwa wanataarifa!! Jaribuni kuwa mnaelewa japo kidogo basi.
  7. M

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    Hivi ni kweli ACT kila mwaka wanachangia damu salama akiwemo ZZK? Je huwa wana-unprofessional wao kwa ajili hiyo au huwa wanatolewa na professional personnel? Nimejiuliza hayo maswali baada ya kuelewa kwamba hiyo juzi mweshimiwa tunayeamini ni msomi hakuwa akifaham blood group yake!!! Maana...
  8. M

    Najiuliza tu kuhusu familia ya Lema kubeba chakula cha sikukuu kwenda gerezani

    Naomba kuuliza, Hivi ni kweli lema ndo pekee yuko mahabusu? Hivi ni kweli yeye pekee ndo wa kwanza kuwekwa mahbusu? Hivi ni kweli yeye ndo atakuwa wa mwisho kuwa hapo alipo na kushitakiwa kwa makosa kama hayo? Hivi ni kweli xmass hii ndo ya kwanza na ya mwisho? H Nina wasiwasi na mleta mada...
  9. M

    Ya Dangote na aibu ya pande 3: Wanahabari, wapiga dili na mabazazi

    Waandishi wa habari kwa sasa wanashindana kwa hali na Mali ili kila mmoja awe wa kwanza kutoa taarifa Fulani ili wapate umaarufu, maskini wamesahau kuwa taarifa tatu safi hufutwa na taarifa moja chafu. Wamekuwa wazembe wa kufanya utafiti wa kina juu ya habar Fulani.
  10. M

    Ufafanuzi: Wapiga dili hupiga hivi kupitia 'Fixed deposit Accounts'

    Pesa zote zije BoT, mabenki yaje kukopa BoT kwa riba ili nchi ipate faida. Ova
  11. M

    Hongera rais Magufuli na serikali yako. Sasa viwanda kila kona, wavivu ndio wamekalia kukuponda!

    Mbuyu ulianza kama mchicha, kiwanda kidogo huzaa kikubwa, huwezi kurukia hatua katika maendeleo yoyote. Kama hatuwezi kuthamini viwanda vidogo hata vikubwa pia hatuwezi zaidi. "If you can not manage a small industry, how can you manage a big one?" Vijana wenzangu tujitume kuanzisha viwanda...
  12. M

    Huu ndio ubabaishaji serikali imemfanyia Dangote alifikia hadi kutengeneza reli lakini imeshindikana

    Ushauli wangu; usihukumu kwa kusikiliza hoja za upande mmoja tuu. Mwisho wa siku utabatilisha hukumu yako.
  13. M

    Huu ndio ubabaishaji serikali imemfanyia Dangote alifikia hadi kutengeneza reli lakini imeshindikana

    Namuamini sana raisi wangu magufuli, kama kweli walikubaliana kufanya kazi pamoja na dangote watafanya tu. Magu hawezi muacha muwekezaji kama huyo aondoke tz hivihivi. Siwezi comment chochote hadi nisikie upande mwingine wa serikali yangu tukufu. There might be a problem with dangote.
  14. M

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Niko pamoja na mtanzania 1989 kuunga mkono uamuzi wa Dk. Magufuli. Mosi, mkuu alikataza account za uchochoroni, tuelewe hivyo watanzania wenzangu. Pili, secta kama tra isitegemee kuwa tajiri (uchumi mkubwa) ikiwa sekta nyingine hazina kitu ukizingatia Tanzania kuna secta za kutoa tu huduma...
  15. M

    Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Point yangu ni kwamba. Nyadhifa halali alizokuwa nazo zinatosha kumpatia kipato halali cha kumiliki hilo jengo, kama sivyo basi sitegemei kumuona mtz mwenye kipato halali akiwa na jengo kama hilo. Nahisi nyie jamaa mnasumbuliwa na wivu wa maendeleo ya watu.
Back
Top Bottom