Recent content by mkanta majura

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Umelallnika bila kua na hoja kama mtu anae jitamhua ama alie soma Ungekua unajitambua baada ya vihoja vyako ungetoa na suluhisho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Halima Selengia shujaa wa TANU na mpigania uhuru wa Tanganyika

    Nice history next time come with full info itakua nzuri zaidi tujue mchango wake ulikua kwenye nn na nn ama ameacha alama gan
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru day: Je, Tunawakumbuka wote waloshiriki katika kuupigania uhuru?

    Ikiwa bado Dakika chache kufikia madhimisho ya siku kuku ya Uhuru, Ningependa tuwakumbuke kidogo kwa kuwaelezea, kwa uchache kati ya watu ambao huenda historia haijawataja kabisa ama wametajwa kwa uchache Kwa kuanza ntaanza Professor Joshua Mkhulilu Kama alivo jipa jina baada ya kukata jina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

    Misumari aliyopiga Kabudi ni mikali balaaaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Kutoa taarifa hilo ni mishe yake swala wabongo wanao shirikiana nao ndo tatizo jna saliti nchi yako kisa tumbo awo ndo wakukamata na kuwawajibishaa kwa makosa ya uhaini uhujumu uchumi na kupanga njama za kuliuza taifa
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Faida ya vile vitambulisho wamachinga wana ijua ndo mana wanatamani aendele tuu Walikua wanalipa karibia 100k kwa mwezi kwa sasa vidogo vyao na ushuru wa halimashauri imekua ni 20k tuu.unadhan kuna machinga ata mruka uyo mwambaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Wazi wazi vp ebu thibitisha iloo
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Bado so evidence hiyo Thibitisha hilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Ameiba na hakuna evidence yoyote kaiba vp saa
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Uwongo mtupu but skulaumu mana mfa maji haishi kutapatapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Now it's all about diplomatic win win situation Wakiweka vikwazo watapata wapi izo malighafi
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Yaan wabongo bwanaa mkishindwaa mnalalamikia tume mbona mkishnda mnakuaga kimyaa
Back
Top Bottom