Recent content by Mkandarasmi

  1. Mkandarasmi

    Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Wale wanaotupost na birthday wishes nao wapigwe faini tu 😎
  2. Mkandarasmi

    Anayepinga kuboreshwa kwa maslahi ya Mwalimu ni Mwalimu, hii ni ajabu sana

    Hii inaweza kuwa njema lakini isiwe na tija sana kwa sababu wengine wanasoma kufikia hizo rank za PhD kwa ajili ya kupata heshima au kwa ajili ya wao kuonyesha profiles zao (Gomez and Gomez, 1984). Kwenye hili nadhani walimu wasome kutokana na hitaji la fani yake kufikia ngazi hiyo ya elimu kwa...
  3. Mkandarasmi

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kwa zile zilizopita machoni pangu, hii ni top three 1. Jumong 2. Tree with Deep Roots 3. Iris
  4. Mkandarasmi

    Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

    Ukiona hivi ujue kuna agenda nyingine iko nyuma.!
  5. Mkandarasmi

    Throwback Thursday

    Najaribu kuutafuta lakini haupatikani kwenye digital platforms. Aliyehao anisaidie tafadhali.!
  6. Mkandarasmi

    Throwback Thursday

    Waungwana, kuna nyimbo ya zamani kidogo yenye baadhi ya lyrics hizi "Niwe nawe, Niwe nawee, penzi lako la thamani, lenye wingi wa nahau" Anayeufahamu au details za jina la msanii na jina la wimbo, au kama anao naomba anisaidie tafadhali.!
Back
Top Bottom