Recent content by Mkamba Towo

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    Watoto...watoto...hata wanapozidiwa na ugonjwa wanawake wanaomba msaada kuwa nisaidie kuangalia wanangu....very sad
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

    Kosa kubwa hapo wamekanyaga bahari ya moto angalia suruali na viatu ni mafuta tupu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Changamoto Sana

    Jana jumamosi saa 6 mchana Nilifanya muamala airtel money pesa ya kununua ticket ya kusafiria jana usiku kwenda kusheherekea Eid Mkoa fulani. Airtel walikata hela ya nauli na ada yao ya huduma Tsh 900 kwa huduma hiyo. Hadi nafika kituoni kupanda basi jana saa 4 usiku muamala haujakamilika na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

    Hujui watanzania walivyo waharibifu kwenye biashara. Hamia Kimara utaonja joto ya jiwe mateso ya mwendokasi unaoendeshwa na watanzsnia...Wana kimara tubampongeza Rais kwa kuwapa wataalam waendeshe mwendokasi t7nasubiria kwa hamu. Kote wanapoendesha watz hasara tupu soma taarifa ya CAG
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la ndege la Air Tanzania lijitafakari, haliwatendei haki wateja wake

    Kwani hakuna options nyingine?
Back
Top Bottom