Recent content by Mkamanga junior

  1. M

    Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

    Mi nashauri, Seif awe Rais na Mwinyi awe makamu wa Rais
  2. M

    Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Ni rahisi mno warudishe tu, walichukua za nini wakati sisi hatukuwa na covid , huo ni uwizi. Hizo fedha zirudishwe ili zikasaidie wanadamu wenzetu katika nchi zilizo athirika na hyo ndio utu na ubinadamu.
  3. M

    Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Ndio kawaida ya polepole anaacha kujibu hoja za msingi anarukaruka.kwanza ajibu hoja haache kusema sisi nchi huru ,kwani wakati wanachukua ela za watu wakati hakuna homa hawakujua kama ni uwizi na udanganyifu .
  4. M

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Mimi ninasema, hakuna haja ya kurudia uchaguzi ,turudie tu kuhesabu maboksi ya kura, tutakutana na vibutu vya kura vingi ambavyo vimetumika bila ya kuandikwa namba ya mpiga kura juu, hivyo ndio kira feki zza kuziondoa kwenye hesabu. Kwa kura hizo zilipigwa usiku sio rahis kuandika namba ya kadi...
  5. M

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Walichokiandika ni sahihi, huu uchaguzi haukuwa wa huru na haki, kilichofanyika ni uhuni tu, wa dakika za mwisho. Ccm na NEC wameshindwa kujibu hoja kwa nini majimbo mengi idadi ya kura za rais itofautiane na kura za jumla za mbunge? wakati mpiga kura anapewa karatas zote. Wajibu kwanza swali...
  6. M

    GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Mtoa mada utakuwa umetumwa na ndugai, ila asipate kibano cha kusafiri.
  7. M

    James Mbatia: Yanayoendelea Tanzania yanatia wasiwasi mkubwa

    Subiri tuone ataungana na Serikali au ataungana na Balozi wa Marekani
  8. M

    CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    Kama ikitokea viongozi wa kitaifa wakazuiwa kusafiri nje,basi spika ndiye atakaye athirika zaidi,kwa sababu ndiye kiongozi anayepnda kwenda kula bata nje na kwenye matibabu.kwa hyo atafoji hata majina ya chadema ilimradi tu bunge lake Liwe na element za kiupinzani walau tusile ban
  9. M

    Hii itakuwa awamu ngumu ya kidiplomasia

    Sasa uchumi wa Iran utafananisha na sisi, ilani pato la ndani ni kubwa ila wameomba pooo.
  10. M

    Hii itakuwa awamu ngumu ya kidiplomasia

    Rafiki mwenyewe Burundi,Zimbabwe?
  11. M

    CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    Haitasaidia, ni kuwaachia bunge lao. Hii miaka mitano tutakapopata kibano akili itawakaa sawa,tusijidanganye tunaweza kuishi bila dunia. Fikiria Zitto alivyozuia tu fedha za wahisani trilioni kelele zilivyokuwa nyingi. Je fikiria sasa msaada yote ifungwe, mashirika na taasisi za nje...
  12. M

    CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni. Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha. Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo...
  13. M

    GE2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

    Nyie ndio mnasemaga hivi halafu mnasafirishwa hadi dodoma kwenda kushuhudia mbunge wako anavyoapishwa,,halafu unarudi nyumbani hadi sidiria ya mke wako hujabeba. Sasa kwa nini shemeji asigongwe na masela wa bavicha
Back
Top Bottom