CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

Wakiacha kupeleka majina bungeni, uchaguzi unaokuja watapata wabunge wengi zaidi tena kwa msaada hata wa ccm wenyewe.
Uko sahihi kabisa. CCM wako kwenye hali mbaya sana kutokana na hii situation, hawawezi kuliweka wazi tu. Aliyewashauri kutekekeza huu mpango ovu lazima sasa hawampendi. Hata hawa humu jf wanaobembeleza CDM wapeleke wabunge Bungeni, they are not happy. Hilo bunge halitapendwa hata na wana CCM.
 
Ujue maneno yako uliyoongea niliona kama kinyesi Fulani hivi ndomana nikauliza sasa unawaka kumbe kweli mama niliuliza tu
Na Mimi nilikuona ulivyokuwa unakuja kwa mdomo ndio nikauliza kwa wadau, wakaniambia joy ugonjwa ni wa kuambukizwa kutoka kwa wazazi ndio nikaona wewe utakuwa ulirithi.
Pole tutakuombea ili upone
 
Mimi Nafikiri kukimbia ni mbinu ambayo kwa miaka yote haijatusaidia sana! Umefika wakati wa kucheza nao game lao! Kwanza tupeleke wanawake mashujaa, pili tuanze kupandikiza watu wetu kila idara muhimu! Tupenyeze watu kwenye system yao wakakipasue chama huko huko kama wao walivyo leta wa kwao kina Lowasa! Tusipo tumia hii formula yao tutakua wa kupigwa kila mwaka!
hakuna kwenda mtu pale bungeni ccm wabaki na haramu yao, watuletee watanzania maendeleo magu alishasema wapinzani wanachelewesha maendeleo ya watanzania
 
Nakuelewa, lakini ujue siyo kwamba nakubali dhuluma! Mimi natoa ushauri tu kwamba ninyi majembe kwasababu kuna hizi fursa chache muende kule mkakwamishe hata jambo moja tu baya walilo kusudia. Alafu tuunge juhudi ‘kinafiki’ kama wao lakini kwa malengo! Hizi njia zetu zimebuma, tuwapige kwa game yao!
Tuwekeze kwenye taasisi zote nyeti! Kwa wananchi, people’s power, CHADEMA ni msingi, sijui oparesheni gani hayujafanya?! Tubadili mbinu!!
fikiri mara mbili tangu lini magu na ndugai wakakwamishwa kupitia akidi ya wapinzani pale bungeni, msimamo ni hakuna kwenda wala kuzikubali hizo nafasi
 
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni.

Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha.

Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo mkubwa wa kiichumi.

Hakuna nchi iliyofanikiwa kuvuka vikwazo bila kuomba poo na kurudi kwenye meza ya maridhiano,hata hao wanaosema tunaweza, kuishi bila wao,wanajisahaulisha.wafuatilie historia ya Rais wa Nicaraguay

Ni lazima wapeleke hao wabunge 19 bungeni kwani taifa lolote linalotegemea wahisani halitakaa liendelee! Msaada ni kutolewa bila condition, Tanzania hakuna vita, hakuna wakimbizi, kuna utulivu, hata Covid19 imetokomezwa! Ebu nenda Russia, Libya, Syria, Yemen, Chad, Nigeria(na Boko Haram yao = Western education is taboo), Somalia na Alshaabab/Al-Qaida yao and many more!!!! Kama Chadema hatapeleka hao 19 bungeni basi 2025 wasije tena kuomba kura kwetu! Yaani viongozi wanataka hao wabunge wakose mishahara wa million 12 kila mwezi kwa miaka mitano???!?? Unbelievable!! Mtegemea cha ndugu hufa masikini kwa hiyo hakuna kutegemea wahisani ila fight from within na chukua kilichopatikana. ACHENI TABIA YA WAPINZANI YA KUSEMA TUKOSE WOTE/SOTE)!
 
Raha nyingine ya kutopeleka ni tutawaona ccm watakuwa wanalumbana na nani kihoja na upuuzi wao mwingine,cha pili ili wananchi wajifunze raha ya kuwa na chama kimoja afu siku maumivu yakikolea ndio wataelewa maana ya kufanya mabadiliko na nini faida ya demokrasia ya vyama vingi
 
Mbona unaonekana unaumia kwa CDM kutopeleka wabunge!? Si mmeongea sana kwenye kampeni kwamba hamtaki kuchanganyiwa, hampendi wapinga maendeleo. Jadilini maendeleo ya nchi Bungeni mkiwa wa kijani pekee ili mtuletee maendeleo kwa kasi kama mlivyoahidi. Hawa wa vyama vingine waliowarudisha nyuma miaka mingi ambao hata hivyo viti maalumu vimepatikana kwa bahati tu, waacheni wafanye mambo mengine. Kama nia yenu ingelikua ni hiyo "njema" unayotaka kuonesha hapo, engua engua za hovyo kabisa zilkua za nini??. Jadilini mijadala bila wapinzani mlete maendeleo.
Jamaa unaongea kama kwamba na mimi ni mmoja wao! Mimi sipo nao, mkuu! Hapa naleta wazo mbadala tu, lakini tusi kubwa ambalo unaweza kunitukana ni kuniona na mimi na mwanamboga mboga!
 
Kama ikitokea viongozi wa kitaifa wakazuiwa kusafiri nje,basi spika ndiye atakaye athirika zaidi,kwa sababu ndiye kiongozi anayepnda kwenda kula bata nje na kwenye matibabu.kwa hyo atafoji hata majina ya chadema ilimradi tu bunge lake Liwe na element za kiupinzani walau tusile ban
 
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni.

Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha.

Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo mkubwa wa kiichumi.

Hakuna nchi iliyofanikiwa kuvuka vikwazo bila kuomba poo na kurudi kwenye meza ya maridhiano,hata hao wanaosema tunaweza, kuishi bila wao,wanajisahaulisha.wafuatilie historia ya Rais wa Nicaraguay.
Huyo wa nicaraguay alifanywaje?
 
Huyo Aida wa Nkasi aunge tela huko huko CCM laasivyo atawagharimu wananchi wa Nkasi maana atatumika kama chambo kwa serikali kumtolea mfano, maana majimbo mengine yatapewa maendeleo kasoro lake ili uchaguzi ujao wapate cha kusema!!
Chadema wamvue uanachama
 
Ulivyo kiazi mbatata ss, mbinyo unaumiza wananchi na sio vigwaguz. Mtt wa kiume endelea kupaka mafuta ngongingo hilo uone mwsho wake
 
Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"
Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
 
Kama kuna mbunge Yeyote wa "saccos" aliyeshindwa kwa kura za maruhani anaruhusiwa kwenda mahakamani, mbona hawaendi?? Na wazi wameshindwa kihalali ndio maana wamekaa kimya na kuishia kufunga cinema na kura wanazodai ni za "Raisi" ambazo ni "fake", mbona na si za "ubunge"
Ni mpumbavu pekee ambaye hakuona wizi wa kura na hujuma zilizofanyika.
Tuliokuwa wasimamizi wa uchaguzi tumeshuhudia kwa macho kura zikijazwa bila kuhesabiwa kwenye fomu za matokeo tena kwa mtutu wa bunduki
 
Na Mimi nilikuona ulivyokuwa unakuja kwa mdomo ndio nikauliza kwa wadau, wakaniambia joy ugonjwa ni wa kuambukizwa kutoka kwa wazazi ndio nikaona wewe utakuwa ulirithi.
Pole tutakuombea ili upone
Hahahahaha imebidi nicheke sana
 
Back
Top Bottom