Recent content by mkamajaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari Dodoma tarehe 26 Juni, 2014

    Utajibuje vitu vya uongo?acha ujinga wewe!nani ajibu uongo?mtahangaika sana!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati Namba 3 dhidi ya CHADEMA; Polisi kundi hili ni hatari

    Hizo propaganda za matamko zinapotolewa huwa mnazipima?si huwa mnakurupuka tu kama mgonjwa wa kuharisha kwenda msalani kuziungamkono,kwanza wewe lizard born,ifweero,ritz,simiyu yenu,faiza foxy,abakorakamo,kila siku mnasema chadema inakufa,chadema inakufa,yaani umekuwa wimbo,mbona haifi?mimi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shafii Kombo, Mwenyekiti CHADEMA Pangani akanusha kuhusika katika tamko dhidi ya chama

    Ndivyo wanavyozidi kuipa umaarufu,watafia mbali tu,wanafanya mambo kama hawana akili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

    Nakubaliana na wewe,muhongo amefanya vizuri ukilinganisha na ngereja,siku hizi migao ya umeme ya kijingajinga haipo na gharama za kuunganisha umeme zimeshuka sana,wakati wa ngereja nguzo moja ilikuwa sh mil 1,sasa hivi ni kama sh elfu 98,nampongeza muhongo hapendi longolongo za kifisadi,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo - Kumbukumbu inayoumiza lakini inayochochea mabadiliko

    Hili gamba vipi?bangi au viroba!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni dharau ya rais au dharau kwa Rais? Serikali ya CCM tuambieni

    Wewe ndiye mpotoshaji kwakuwa tu ni shabiki mjinga wa ccm,tangu lini serikali hii na viongozi wake wakafanya mambo kumsaidia mwananchi?siku zote hufanya mambo kujinufaisha wao wenyewe ba kujilimbikizia mali,danganya wajinga wenzako na elewa kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge acheni siasa na Misamaha ya Kodi, Haikwepeki ni lazima iwepo!

    Ni kweli wewe hujali kwakuwa huenda upo kwenye system ya wanaonufaika na hiyo misamaha kwa namna moja ama nyingine,anyway labda tuone sasa hii misamaha isiwe chanzo cha kuwabana wananchi ili kufidia na kusababisha maisha kuwa magumu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete atikisa avuna wanachama 300 wapya Singida

    Kajamaa kanatafuta maeneo ya kufungua vituo vya mafuta lake oil
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge acheni siasa na Misamaha ya Kodi, Haikwepeki ni lazima iwepo!

    Serikali inapendelea watu wa nje,hao wanasamehewa kabisa wakati watumishi wake hata punguzo la kodi kwenye mishahara hamna,na kwa dharau kubwa rais akatangaza eti kodi itapunguzwa,kwa kuonesha jinsi serikali yetu hii isivyowajali wananchi na inavyowadharau ikapunguza asilimia moja,kila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Membe: Masele ni mzushi tu, Ubalozi wa UK na Balozi wake hawahusiki kwa chochote!

    Kama hina la kusema ni bora ukalale
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Atakayepitisha Kodi ya Uchakavu Anyimwe Kura

    Wewe ni mshabiki tu usiye na maana,tunakujua sana,jambo lolote la ccm hata kama ni baya kiasi gani au linaumiza wananchi kiasi gani utashabikia tu,labda kuna kitu unatafuta au ndiyo yale yale ya buku 7 ai unataka wakuongezee hiyo buku7?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA

    Unaushahidi?wewe ni wakupelekwa jela tu,bahati yako magamba yatakubeba ila ipo siku
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA

    Ccm washindi hutafutwa kwa rushwa,huwezi kutudanganya wenye ufahamu boya wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Hilo nalo jema!wakazane tu,sasa sijui watawafutaje?watawafukuza vyuoni au?maana cdm iko damuni mwa wenye akili wanaojitambua si kama lumumba
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaua vipaji vya siasa kwa Vijana, Yu-wapi James Ole Milya na Bananga

    Hivi wewe unadhani kuishambulia cdm na viongozi wake kila kukicha ndiyo kunakupa umaarufu?unajidanganya!hapo unajitambulisha wewe mwenyewe kama mtu punguani,wote hata ccm uliko wanakuona kama umechanganyikiwa na kukosa mwelekeo baada ya kufukuzwa cdm,kila member humu sasa anajua kuwa bado...
Back
Top Bottom