Recent content by MKAMA6

  1. M

    Meshack Micus aendelea na operation ya ujenzi wa misingi ya CHADEMA mkoani Kagera

    Afisa wa CHADEMA kanda ya Ziwa Magharibi Kamanda Meshack Micus a.k.a Mbunge wa Nkege ameendelea na operation tokomeza CCM katika Mkoa wa Kagera operation iliyoanzia Jimbola Biharamulo,na kuelekea Bukoba Vijijini,Bukoba Mjini,Nkenge na leo atazungumza na wanawake wa Bukoba Manispaa. Katika...
  2. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Mnyika:"Uchaguzi wa Chadema Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015". Duh! Hii tamu sana!
  3. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Pwahahahaaah! Unatokwa Povu, na bado jipange
  4. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    pwahahahahaaah! nambie Yericko...
  5. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Mnyika:"Uchaguzi wa Chadema Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015" Duh! Hii tamu sana!
  6. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Hongera Mhe.Mnyika Kutuweka Wazi Makamanda...Hapo sawa.
  7. M

    John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Duh! Hii tamu sana Wakuu! Akijibu Swali la Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi lililohoji "Chadema Inatarajia Kufanya lini Uchaguzi wake wa Kitaifa, Kwa Sababu NCCR-Mageuzi wao Wametangaza tayari Uchaguzi wao"... Akijibu Swali hilo Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Mhe.John...
  8. M

    Uchaguzi mkuu wa kitaifa wa NCCR Tar 18/01

    Tafadharini sana anayeihusisha CHADEMA na Uchaguzi wa NCCR Imekula Kwake, Kwa taarifa CHADEMA ni Chama Makini na hakiongozwi Kwa Kufuata Mkumbo, Ok! UCHAGUZI WA CHADEMA KITAIFA NI BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2015.
  9. M

    Ombi la Watanzania Kwa "Tume ya Taifa ya Uchaguzi" Nchini.

    Jaji Lubuva hayo ndio Maombi ya Watanzania...
  10. M

    Ombi la Watanzania Kwa "Tume ya Taifa ya Uchaguzi" Nchini.

    Licha ya Watanzania zaidi ya (4,000,000) Millioni nne Kubainika Kwamba yawezekana hawatapata haki yao ya Kikatiba ya Kupiga Kura ndani ya Chaguzi zinazofuata Baada ya Dalili za Kutoboreshwa Kwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Kwa Madai Kwamba Serikali haina Fedha za Kutosha Kuifanya Kazi hiyo...
  11. M

    Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

    Huyu "Uchaguzi" anatapatapa Kama mfa Maji, Kwa taarifa Mimi ninaishi Bunda Mtaa wa Polisi hapa, Magambo Wassira ni Kijana wa tatu Kuzaliwa Katika familia ya Waziri Wassira, pia Kuhusu Kuwa Mganga wa Kienyeji ni Uongo uliokomaa Kupita Kiasi pia ni Kashifa za Kipumbavu Coz Magambo hajawi Kuwa...
  12. M

    Mbunge wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri azomea na Wananchi Jimboni Kwake.

    Hapo sasa ndo Ushangae Kwetu hasa ni wapi... Kwani Shida yako nini Uchaguzi
  13. M

    Mbunge wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri azomea na Wananchi Jimboni Kwake.

    Hii ni Hatari! Lema:"CCM Wanavunga Wahuni, Dawa ni Kuwa Muhuni zaidi yao" huu ndo Ukweli wake.
  14. M

    Mbunge wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri azomea na Wananchi Jimboni Kwake.

    Mbunge wa Jimbo la BUCHOSA Mkoani Mwanza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe.Charles Tibeza, amekumbana na aibu ya fungua Mwaka huko Jimboni Kwake Katika Kijiji Cha Itabagumba baada ya Kuzomewa na Wananchi wa Kijiji hicho baada ya Kuuvamia Mkutano wao Mkuu wa Kijiji na Ghafla Kuanza...
  15. M

    Kata ya Nyasura Bunda, Mgombea (CHADEMA) ni Mtoto wa Waziri Wassira

    Mgombea wa CCM Bunda anaitwa ALEXANDAR MWIKWABE, ni Dhaifu hakuna Spair...cha ajabu amelazimishwa Kugombea baada ya Wagombea Wawili Kujitoa na Kurudisha fomu zao. BUNDA tuko tayari Kufa Kwa risasi za Moto, kwa sababu Mabomu tushayazoea ila ni lazima CHADEMA Itawale Nyasura, tushachoka na hadithi...
Back
Top Bottom