Recent content by MKALIKENYA

  1. M

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    Hawa Trust St. Patrick wangalie vizuri ata ada ya secondary yao ya wavulana nayo ni kizungumkuti wamepandisha.
  2. M

    Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    Tatizo la Zitto uwa anadhani yeye ana akili kuliko watanzania wengine ni mwanasiasa wa kutokuaminika ni kati wa wanasiasa ambao wanapigania kupata sifa nyuma ya hoja ya uzalendo.
  3. M

    Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Nitashangaa na kuchelewa kote huku atoke na majina ya kina dogo janja na yule aliyekuwa anawapakata askari wetu wa wanyama pori.
  4. M

    January Makamba: Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa Uhai CCM

    Kazi unayo utadhani mtumishi wa muhindi.
  5. M

    Official: Brian Majwega atua Simba SC

    Huyu si Azam walimtoa kwa mkopo kwa sababu ya kiwango kushuka ina maana Simba kazi yao ni kukusanya RIJEKITED.
  6. M

    Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    Anavuna alichokipanda shauli yake, hivi akisimamishwa sehemu aseme ameishaifanyia hii nchi nini atasema nini? hivi ni mijadala mingapi ilitokea bungeni na yeye akiwepo lakini akakaa kimyaaaaaa bila kufunga mdomo kuonesha uzalendo na kukemea wizi na ubadhilifu halafu leo anajiweka kwenye first...
  7. M

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Kabla ya kutaka kujustify faida aliyoleta ni kiasi gani tuangalie tofauti ya mshahara na marupurupu yake na wafanyakazi wengine hasa kada ya chini halafu uniambie kama hiyo faida ingeweza kupatikana bila team work ya wafanyakazi wote.
  8. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Kaka tumia neno Generation peke yake hivi unajua maana ya neno Golden.
  9. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Mbona unajichanganya aisee sasa ugolden unatokea wapi kama hakuna ata mmoja amepata mafanikio ya kutangazwa kama walipopandishwa hawajafanya chochote cha maana.
  10. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Na mimi nachokuchallenge kama hiyo ilikuwa golden generation ya Simba B mbona walipopandishwa kwenye timu ya wakubwa hawakupata mafanikio na ata kupata mafanikio binafsi.
  11. M

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Kwa hiyo kama maafisa ardhi wanafanya makosa waadhibiwe bila kufata taratibu sababu ulishawahi dhurumiwa kiwanja kuna siku huyo mkuu wa wilaya atatumia sheria vibaya kukuweka ndani wewe kisa anataka usiku alale na mke wako nadhani hapo ndio utaelewa madhara ya utawala usiofata sheria.
  12. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Golden Generation haina mchezaji ata mmoja anacheza kikosi cha kwanza cha national team tena national mbovu mbovu....nyambafuuuuuu.
  13. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Hivi unaweza kuwaita Golden Generation wakati hawajawahi kuipa ubingwa wa ligi ya vodacom ata kuwa wapili washiriki mashindano ya kimataifa acheni kujidanganya na kutumia maneno mazito kwenye hizo takataka zenu.
  14. M

    Ramadhani Kipalamoto: Kanifanya niikumbuke Golden Generation toka Simba B

    Watanzania uwa tunajidanganya sana eti golden generation ya mtu kama MKUDE kila siku analewa chakali tabata.
Back
Top Bottom