Recent content by Mkali Marley

  1. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

    Ulinzi nayo kazi tuacheni uvivu
  2. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania E-mail kutoka TaESA

    Hizo meseji zinakuja kwako kimakosa yaani mfumo umefoadi kwenye email yako nilienda kuulizia hata Mimi nilipata huo ujumbe
  3. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwaka umepita bila kuitwa TAESA

    Vipi uliitwa mkuu?
  4. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi, nisaidieni ndugu zangu

    Utakua op mabeyo hebu nifate pm
  5. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara vya TNPSS ndio vikoje?

    TNPSS E ? ni kiasi gani?
  6. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Unaongelea jkt ya kwenye makaratasi hujui kitu ww
  7. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Tanapa umesahau
  8. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Leteni lonja za usahili Uhamiaji maana majina yasije kutoka alafu mkaanza kuuliza maswali yanakuaje....ombeni Uhamiaji Mwaka huu naskia wanachukua wengi
  9. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Simu bado wakuu bogi mwezi wa tatu huko Askari 3elf...kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa
  10. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Ajira za TISS hutangazwa wapi?

    Kozi yao inaanza january
  11. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi wameanza leo wew jipe moyo....subiri mshati mwakani
  12. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Uuguzi Saudia

    Mkipata sjui
  13. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nafkiri maana bado hawaja anza
  14. Mkali Marley

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
Back
Top Bottom