Membe ameishiwa utashi kabsaaaa sjui hata wanachama wenzake wa ccm wanadhan kama huyu jamaaa anauwezo wa kuliongoza Taifa ishu kama hiyo unadanganywa kwa pipi Then unahalalisha hakuna Mauaji washkaj wako Sauz wana prove wa Tz wamekufa alaf anatuletea story za Kiwaki hapa.... .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.