Recent content by mkafrend

  1. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

    Mtu akitoka Musoma - Mkurya, Mtukitoka Bukoba - Muhaya, Mtu akitoka Kigoma - Mrundi - huwa nasikitishwa sana na kauli hizo za hao ndugu!
  2. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Kampeni hizi zikiendelea hatuwezi kufika salama - tuwe wavumilivu muda unafika na kila jambo litafanyika
  3. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

    Anawakilisha jimbo la C'ancuzo? Acheni mambo ya kuvuana uraia - hilo nalo kwako ni kosa
  4. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    Ndoto za mchana - CCM hawapangiwi!
  5. mkafrend

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wakanusha habari ya Musiba, ni baada ya wao kuguswa

    Asante kwa ufafanuzi huo mrua - Mungu atawashindia dhidi ya hujuma zinazofanywa na wasiopenda maendeleo
  6. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    Hatumjui mtu huyo!
  7. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Level seat imepuuzwa

    Nunua uwe unasafiri na gari lako (one); Waambie abiria wasipande yaliyojaa (two); Wasafiri waahirishe safari (three)
  8. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

    Ni mtoto wa taifa Tanzania Kama na wewe unataka wa kwako ashirikishwe tuma maombi Ikulu
  9. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya siasa akimulike kikundi cha Green Guard ndani ya CCM, kimeunda jeshi.

    Acheni uongo uongo hapo ni South Afrika siyo Tanzania
  10. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    Mleta uzi ni CDM damu damu - CCM tuko imara kama shilingi
  11. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    CDM mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe - CCM iko imara anayesema nchi haina maendeleo mwambie:- (i). Aangalie umeme vijijini, (ii). Aangalie barabara za lami, (iii). Aangalie viwanja vya ndege, (iv). Aangalie maendeleo ya mawasiliano, (v). Aangalie elimu bila malipo, (vi). Aangalie mikopo...
  12. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Endelea kupotosha - JKT haikuwahi kuahidi kwamba wote wanapitia mafunzoni wataajiriwa Serikali inahimiza vijana kujiajiri
  13. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Ni kweli mtu ukiishiwa hoja lzm utafute defense mechanisms - wewe umeopt matusi! Tuache kampeni kabla ya muda!
  14. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Mbona tangu umwonee wivu JPM na Serikali ya CCM hujaolewa? AU ndiyo unapitisha michango ya sendoff yako?
  15. mkafrend

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilipokuwa waziri niliwahi kuteua mtu wa darasa la 7 kuwa meneja wa mkoa

    Safi sana kumbe hata Ildephonce Bilohe (darasa la saba aliyegombea urais mwaka 2015) huenda akala shavu
Back
Top Bottom