Hyu dada weupe kaupata wapi? Mbona baba yake ni mweusi tii,,

Tatizo haliko kwa Rose Mboma, tatizo ni la kwako kukerwa na mambo ya watu wengine yasiyokuhusu na ambayo umeamua kuyapa tafsiri yako kwa kufuata hisia zako zinakokutuma kisha kwa ujinga wako huo unaamua kutushirikisha na sisi....WanaJf, Salaam!
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.
Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.
Nawakia siku njema.
MK 2019
Mtu anasema "NITAMCHAGUA MEMBE 2020", wewe unawaka na kukureka bila hata kujua atamchagua kwenye nini!!Inakuhusu nini wewe hilo? Ya Rose Mboma na Membe waachie wao!!
Raha pekee ya siasa na itikadi ni kujificha kwenye kichaka cha karanga!
Kwamba mtu unashindwa hata kuutafsiri wakati
Na je kama atamchagua awe mume wake? Haya mambo hayahitaji hasira,Is it against the law? and after all how many Membes are there in Tz?
Mkuu nilijuaga unaakili kumbe Hola...sasa mtu akisema atamchagua membe 2020 inahusika vipi na kampeni za uchaguzi mkuu ?, kuna kumchagua kuwa mzee wa kanisa, awe danga lake, mwenyekiti wa Saccos....n.k...n.k mlivyo na roho mbaya mmemtaja hadi jina ili mkafanyie mnayoyaweza awamu hii badala ya kufanya mambo ya maendeleoWanaJf, Salaam!
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.
Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.
Nawakia siku njema.
MK 2019
wenye hekima wameshasepa mmibakia mazombieKwani unatembelea maneno ya Kitila Mkumbo?
Ukiambiwa changanya na zakwako - hata huyo dada unayemshabikia mwenye fulana yuko ccm
huyu ndo tegemeo lenu😂😂😂Mazombie! Hivi wenye akili walioko CDM ni wepi - kuruhusu watawala wa kimwinyi ndiyo ufahari wenu?
fala sana wewe.. amekwambia huyo membe we unamjuaa@#$&€$#🖕WanaJf, Salaam!
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.
Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.
Nawakia siku njema.
MK 2019
acha wivu mtoto wakiume utakuja olewaWanaJf, Salaam!

kampeni ya harusi ya mumeo auNi kweli mtu ukiishiwa hoja lzm utafute defense mechanisms - wewe umeopt matusi!
Tuache kampeni kabla ya muda!