Habrini wana JF,
Mimi leo langu ni swala zima la watu (haswa sisi watanzania) kulipia huduma ya kujisaidia sehemu mbalimbali kama stendi na sikoni. Najuwa baadhi yeta tunaweza sema oooh kunahitajika usafi, sawa, mbona kwenye viwanja vya ndege kuna vyoo na vipo safi muda wote? Pia hata nchi za...
Ahsante kwa kuwa muungwana na kurejea kwa marekebisho. Ila kwa maoni yangu, hata kama ungemute (kukaa kimya), ujumbe ulishafika na umepokelewa. Mjumbe hapigwi mawe. Kuwa na amani bwana mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.