BALOZI WA URUSI: PARACHICHI ZA TANZANIA ZITAPATA SOKO RAHISI NCHINI URUSI
Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan, amewasili mkoani Njombe kwa ziara rasmi, ambapo alipokelewa katika eneo la Makambako na Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Juma Sweda, kwa niaba ya Mkuu wa...