Recent content by MK 14

  1. M

    Msaada wenu wakuu

    Sawa mkuu
  2. M

    Msaada wenu wakuu

    Mkuu kashafatilia mpaka pale utumishi response yao wanasema wanalishughulikia mpaka sasa miezi mitano imepita anasubiria majibu
  3. M

    Msaada wenu wakuu

    Inasikitishaa sana; hafukuzwe mafunzo yeye alafu Leo inaonekana alikuwa na check namba na pesa ikawa inaflow wakati ajawahi lamba ata senti moja ; kwann watu wanawasababishia matatizo wengine ambaye hakujua lolote lile
  4. M

    Msaada wenu wakuu

    Kwann jamani afanyiwe hivo wakati mtu alifukuzwa mafunzoni; na Walaa hakupata bahati ya kuajiliwa
  5. M

    Msaada wenu wakuu

    Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la kukutwa na simu, baadae miaka miwili yaani 2012 alijiunga na kozi ya Afya kwa ngazi ya diploma na kuitimu...
  6. M

    Haina haja ya Kuzunguka njia ndefu ila wenye akili wameshajua ya kwamba...

    Hujakosea mkuu Mimi mwenyewe kitambulisho taifa huu ni mwezi wa tano sasa sijapata na kila kitu nshakamilishaaa, juzi nime apply chuo nje ya nchi maombi yangu yamerudishwa wanataka national identity
  7. M

    Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

    Wewe acha kupotoshaa, vituo vinaagiza sawa leo huku waagizaji wakiwa na stock ya mwezi wakiamini kuwa mwezi unaofuata dawa zitakuwa tayari zishafika lakini inachukua miezi 3 mpaka 4 ndio MSD wanaleta dawa kwa mfano umeagiza dawa Leo hapo kaa ukijua utaletewa mwezi wa tatu au wa nne mwakani hivi...
  8. M

    Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

    Mimi nilikuwa mwenyekiti tawi elimu vyuo vikuu, ni mwana sisiem hai ila kwa hali jinsi ilivoo nakuunga mkono mkuu
  9. M

    Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

    Kuna watu wana grandiose disorder na ni character za schizophrenic disorder tena ile category ya hebphrenic schizophrenia ( dis organized schizophrenia)
  10. M

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Hiyo ndio mada kwa sasa kila kona ukipita mafao mafao, madaraja madaraja
  11. M

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Nukuu yako: "wazushi wengi na has a wale wa sekta binafsi "
  12. M

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Kwaiyo sisi wa sekta binafsi ni wazushi kwenye haki yetu, tambua unachokiongea we we, ivi unajua sekta binafsi imechangia pato la taifa hili kwa kiasi gani? Watu wanadai pesa zao eti wewe unachangia mdahalo huu kwa kujibrock eeee
  13. M

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Kwa hesabu ndogo tuu mkuu kuna mtu alikuwa analipwa 1236000/= per month kwa mshahara huo mifuko ya jamii alikuwa anakatwa 10% na mwajiri anamchangia 10% jumla alikuwa anachangia 243600 /= kwa mwezi . sasa chukua 243600×miaka 30= 87,696,000/= na hiyo haina ongezeko lolote hiyo ni pesa kwa miaka...
Back
Top Bottom