Wana Jf tunafarijika sana kwa juhudi anazozifanya Warioba na wenzake. Nimezisoma kwa umakini mkubwa na kwa kufananisha kwa uangalifu rasimu ya katiba maarufu kama ya Warioba na ya Chenge. Kwa kweli kama hii ya chenge ikipita watoto wetu na wajukuu wetu watakoma. Nashauri wote ambao hatujazisoma...
Huyu bwana alilewa madaraka, mahaba na chama tawala yakamtia upofu hakupata tambua dhamana na cheo alicho nacho ni kwa ajili ya watanzania wote bila kujali chama. Nampa pole na hongera kwa maamuzi magumu kwani madaraka ni matamu.
Naungana na wewe kuwa hali ni ngumu kwa mfanyakazi wa serikali, kwani nina rafiki anaye fanya huko, kaja kwangu akilia hana nauli ya kwenda kazini,chakula kwa familia pia mwenye nyumba anataka kumfukuza. Katika maongezi alinitajia mshahara wake kwakweli ni shidaaa kwani mwenye biashara ya genge...
Kwa DSM pilikapilika za siku nzima pamoja na foleni imechangia kwa watu kujitokeza kujiandikisha, naona ni vyema ikatumika mbinu nyingine ya kuweza kuwapata ama kuwaandikisha wapiga kura si kwa daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa bili pia kwa daftari kwa la uchaguzi mkuu wa madiwani...
Mutabilwa na wana JF wengine: napenda niwape taarifa kuwa suala la mikataba kupitiwa na bunge kabla ya kuisainiwa lipo kwenye rasimu ya warioba. Ila kwenye katiba pendekezwa limeondolewa, hii inadhihirisha suala la uwazi kwenye mikataba halijakubalika kwa watawala.Hivyo juhudi za makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.