😁😁😁😁😁😁shida ni moja tunaishi kwa mazoea maana unaweza mlea mtoto bila shouting wala viboko na akawa mtoto mwema ila akitoka nje ya imaa anakutana na waliomzungua na wanakua nje ya maadili
so hapo hapo ndipo viboko vimatake place kwa sababu kuna vinimambo ame adapt outside
Nairobi ilikua vizuri zamani kutokana na kuwai kujengeka ila tatizo miundo mbinu yao aijawa rafiki kwa kuboresha ili iwe kisasa ivyo basi Dsm inakua kwa kasi kitokana na kuchelewa kujengeka na kupanuka ivyo mazingira yamekua rafiki kwa kujenga na kuendelea kupanuka kua jiji la kosasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.