Recent content by Mjomba_kaz

  1. M

    Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

    Nipo njian kuelekea mwanza, imenibid kuwaisha safar ili nichinje fisiem, mghamba LIko speed hope ntawai kufika
  2. M

    Uchaguzi mkuu: Hizi ndizo baadhi ya hitilafu katika daftari la wapiga kura. Tunaelekea wapi?

    Kwa Mimi nlivoelewa apo nahis izo picha zilizozungushiwa duara ukiziangalia zingne hazina watu na zingine utaona tofaut yake na zingne nkwamba zenyewe nikama zimepigwa sehem ya wazi tu hazina vile vitambaa vya nyuma Kama wanavotumia kwenye kupga passport iyo ndo tofaut nliyoiona Mimi
  3. M

    Magazeti ya Shigongo kulikoni

    Magazeti yanayochosha akili kwann ujisumbue kuyasoma mkuu
  4. M

    Mali za wanandoa

    Hapana mkuu ulizomkuta nazo zinabak kuwa zake mwenyewe
Back
Top Bottom